Huyu Bwana Achukue Fomu za Ubunge 2025

Labda kwao huko morogoro
Morogoro inaweza ikawa Ngumu kidogo, "Uwiano wa Wanaume na Wanawake" hauko sawia. Labda ajaribu kila mtu na ukisimeti wake
 
Siasa za bongo hazihitaji watu wenye weledi mkubwa zinahitaji uwe mjinga mjinga, ndio mzee,muongo,ujifanye una uchungu na wananchi kumbe lilamba asali bila huruma.
Jamaa ana uchungu lakini, anapenda haki, haki za Vijana iwe Wanaume, au za Wanawake.

Vilevile yumo kwenye Nyanja nyingi, na kwa Uweledi wake, akichukua ubunge, ndio awe Mshauri mzuri Bungeni.

Bunge nalo linahitaji watu wenye "weledi"
 
Nitamshauri nikikutana nae Achukue Fomu za Ubunge Dar. Kama vile Ubungo, au Kinondoni....hizi sehemu zina Vijana wengi katika majimbo hayo.

Wewe utamshauri jimbo gani, na kwanini?
 
Mlipie wewe hela ya fomu hana hela ya fomu
ndege JOHN,
mie kabwela, sina hili wale lile.
Robert Heriel alisema ana kibanda cha kufundisha Karate kukabiliana na Janga la magenge ya jinai -anawaita Panya Road. Hakupata hela huko?

Hatahivyo,

...tutamchangia hapa JF na wala asiwe na wasiwasi.
 
Sifa zote hizo ulizotaja ndio zinamdanya akose sifa za KUTEULIWA kugombea ubunge. Alitakuwa kujua KUSOMA na KUANDIKA tu.
 
Amepata...!
 
Mbona Unamtisha Bwana Robert?
Hayo ya PM mbona ya kawaida tu.
...halafu kumbe ndio hivi...tumo wote au wewe haumo?
naku nukuu
Waliomo humu, ndiyo haohao wa mtaani tu, hawana jipya....
Usimkandamize mwenzio na kumwogopesha kuchukua Fomu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…