Huyu changudoa wa Corner bar, nahisi ni jini aliyevaa umbo la binadamu ila sina uhakika

Aliyenunua changu doa,na aliyenunuliwa, nani agent wa ibilisi?
 
Sasa ni wakati na sisi Bongo tupate m'moja kupitia shemeji yetu jini......
 
Jiandae Kuuliwa au hata Kudhuruliwa nae Ndugu kwani Watu kama hawa huwa hawataki Kuumbuliwa hivi.

Kuwa makini sana kwani nawajua japo sitaki uniulize Swali la Kwanini.
Kwanini sasa?!
 
Aisee
 
Hii utumika kama heshima tu ,ila nakumbuka nilivyosoma mie ni kwamba hawa malaika awana jinsia

Sent from my Infinix X623

Hii utumika kama heshima tu ,ila nakumbuka nilivyosoma mie ni kwamba hawa malaika awana jinsia

Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
Tujuzane kitabu gan na sura ya ngap na msitari upi katika biblia unasema malaika hawana jinsia?? GOD AND ALL ANGELS ARE MEN na wanajinsia hata BWANA YESU mwenyewe alitahiriwa na hakuna mahal panaposema alipopaa juu jinsia ilitoweka
 
Hiyo picha kwenye simu yako ilikuwa na damu kweli?
 
Ngoja nikamtazame FB kwanza
 
ngoja nimtafute kwanza huyo jack chacha ndo hawa wanatuwekeaga papuchi za wanyama *****
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…