Huyu changudoa wa Corner bar, nahisi ni jini aliyevaa umbo la binadamu ila sina uhakika

Nime mu search FB, mbona hafananii na sifa ulizompa
 
Dah huyo ndo ulimununua?
Wanaume mna roho ngumu sana aisee
 
Acha kudanganya watu wewe
 
dah mpaka nmeingia fb ana rasta na pua pana sijui ndo yeye,kama ndo yy mbona agent bado mdogo hvyo akifika umri wang si amewamaliza wengi
 
Jiandae Kuuliwa au hata Kudhuruliwa nae Ndugu kwani Watu kama hawa huwa hawataki Kuumbuliwa hivi.

Kuwa makini sana kwani nawajua japo sitaki uniulize Swali la Kwanini.
Acha kutishia watu na mm nataka nikamuonje jini....
 
FB anatumia jina la Jack Chacha kwa wahudhuriaji wa kona baa mtakuwa mnamfahamu huyo mdada,
Haki ya Mungu, kama kuna atakayeweza kuuona Ufalme wa Milele hapa JF, basi nimebaki peke yangu!!! Yaani nilipoona tu hiyo "Caring Is Sharing" hapo kwenye RED, nikajua tu wana-JF wamejazana huko!

Kwa vile "No Research, No Right to Speak", nikaamua kufanya kautafiti nione kama nipo sahihi; na Research Findings ni hizi hapa chini---

Hivi nyie watu mna matatizo gani lakini?

Ndugu yangu MALCOM LUMUMBA, hakika ukitaka kuupata Ufalme wa Mbinguni, basi iga nyenendo za kaka yako mimi!!
 
Nadhani Bongo sasa hivi Evolution inakwenda Vice Versa..., Si kwa Imani hizi....
 
Kwenye sex huwa anasisitiza kondom au yuko free? Maana wengine wanakusanya sperm.
 
Mama D unaonekana ni mtu mwema sana na unaejitambua. Ila sisiemu sijui walikupa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi sio mwema sana kiboboso, nina ubinadamu wangu pia kama ilivyo asili yetu wana wa Adam.
Kukosea kupo ila ukiona nafsi yako inakushuhudia makosa na unapata maumivu au hofu ya makosa yako, ukawa unayajutia na kuumia hata kujutia na kuchukia mazingira yaliyokupeleke huko basi ujue mkono wa Mungu uko juu yako na unatakiwa kubadilika.

Sisiemu hawajanipa chochote ila nikikumbuka chadema walichowafanyia watanzania 2015 najisemea heri heri nusu shari kuliko shari kamili
 
Jacky chacha inamaana huyu changu Ni mkuria.
Mkuu ulikuta Kisibusi hapo miguu inapokutana?
Wakuria , wamasai, wachagga , wagogo ,wagita, wapare nadhani na wanyakyusa Ni walewale mlango ulishachukuliwa na ngariba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…