Huyu changudoa wa Corner bar, nahisi ni jini aliyevaa umbo la binadamu ila sina uhakika

Na Sahivi kwa pale kona baa naona jack/rucy ndio mzuri kuliko wote, wengine hamna kitu Sergeant Stonebridge
 
A
Aaaaahaaaaaà, kumbe majini yanachukia kiti moto kwa kuwa kiti moto kilikataa kuishi na majini kikaamua bora kikafilie mbali kuliko kukaliwa na jini eeh😜? Sikuwahi kufunuliwa hivi i see!
 
A

Aaaaahaaaaaà, kumbe majini yanachukia kiti moto kwa kuwa kiti moto kilikataa kuishi na majini kikaamua bora kikafilie mbali kuliko kukaliwa na jini eeh😜? Sikuwahi kufunuliwa hivi i see!

Halafu kumbe majini pia huwa yanamuomba Mungu 😂😂😂😂

"12 Pepo wote wakamsihi, wakisema, Tupeleke katika nguruwe, tupate kuwaingia wao. 13 Akawapa ruhusa. Wale pepo wachafu wakatoka, wakaingia katika wale nguruwe; "

halafu sisi wanadamu tunajudai tuko busy muda wa kuongea na Mungu hatuna😆😆
 
Cha kushangaza Mungu naye huyajibu maombi yao tena kwa kuwapa tamanio lao😲!
 
Afadhali umeliona hilo mapema
Mshana habari jako aithee.Nepatie ajali mbivi thaa kenda,mthi wa Ijumaa,tarehe ushirini na kamwe, mweji wa kathano,mwaka wa 2021!Iii tarehe o.....,mbona teiho nedho.Mbona kama ni ajali iliyopangwa precisely na kuzimu?Hata huvo nimshukuru Mrungu sifwie.
 
Samahani, Huyu Marko ni nani?
 
Kua makini
 
Samahani, Huyu Marko ni nani?
Sijui umeuliza ukiwa unataka kujua nini ila Marko alikua mfuasi na mmoja kati ya mitume wa Yesu Kristo. Awali kabla ya kuitwa na Yesu Kristo alikua na kazi yake rasmi kwenye mamlaka ya mapato kama mtoza ushuru (mkusaya tozo/kodi)
 
Sawa Mama D. Asante!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…