Huyu Dada alikuwa ni kati ya Mashabiki wa kweli wa Yanga. Sasa hivi yuko wapi!?

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
Nimeileta hii hapa ili kummpa heshima. She was the best fan.
Miaka ile ya kina Ngasa, kabla. Ya filters ktk cm.. 2011..2013..

Mimi binafsi nilimpenda na nikamfolow FB.
YUKO WAPI SASA, ANYONE p'se.
Screenshot_20241025-112249_1.jpg
 
Itakuwa kuna ustaadh mmoja kamuweka ndani akampiga marufuku mambo ya mamipira.

Kuna ile couple nyingine nayo sijaiona toka msimu uliopita, mwanaume Yanga, mwanamke Simba. Nao wamepotea kabisa ila nadhani mwanamke atakuwa kaikatia tamaa timu yake maana alikuwa anapata wakati mgumu sana.
 
Ukiona hivyo watu washakupenda.

Kuna wengine hata hawatajwi.

Kuna sehemu Zuchu alikuwa analalamika watu wanamzonga sana mitaani.

Kuna msanii mmoja akamwambia ashukuru watu wanamjua na kumzonga, kuna wasanii watu hata hawawajui.

So enjoy your Zuchu moment bibie 🤣🤣🤣
Kiranga kumbe na wewe huwa unacheka!🤣
 
Itakuwa kuna ustaadh mmoja kamuweka ndani akampiga marufuku mambo ya mamipira.

Kuna ile couple nyingine nayo sijaiona toka msimu uliopita, mwanaume Yanga, mwanamke Simba. Nao wamepotea kabisa ila nadhani mwanamke atakuwa kaikatia tamaa timu yake maana alikuwa anapata wakati mgumu sana.
Huwezi ukawa na akili timamu, ukaishabikia simba.
 
Ukiona hivyo watu washakupenda.

Kuna wengine hata hawatajwi.

Kuna sehemu Zuchu alikuwa analalamika watu wanamzonga sana mitaani.

Kuna msanii mmoja akamwambia ashukuru watu wanamjua na kumzonga, kuna wasanii watu hata hawawajui.

So enjoy your Zuchu moment bibie 🤣🤣🤣
Nashukuru!
 
Back
Top Bottom