Huyu Dada alikuwa ni kati ya Mashabiki wa kweli wa Yanga. Sasa hivi yuko wapi!?

Huyu Dada alikuwa ni kati ya Mashabiki wa kweli wa Yanga. Sasa hivi yuko wapi!?

Nimeileta hii hapa ili kummpa heshima. She was the best fan.
Miaka ile ya kina Ngasa, kabla. Ya filters ktk cm.. 2011..2013..

Mimi binafsi nilimpenda na nikamfolow FB.
YUKO WAPI SASA, ANYONE p'se.
View attachment 3134762
Halafu wanaume saazingine tunakuwaga na 'maradhi' ya ajabu sana!

Usikute kuuliza uliza huko ushamfall in love tayari af ushammiss.

Wengine tunavyohangaika kutoa maoni wewe unasikia rahaaa!

Ndiyo maana presenter na wengine wenye fani za kuonekana onekana 'ovyo' wanakuwa na soko kubwa sana la kutakwa!
 
Sawa.
 
Kuna klabu inaitwa "La Casa"
huwa naenda pale kupata kitimoto tu maana si mtumiaji wa pombe
La Casa ya wapi? Mimi nakumbuka kulikuwa na La Casa Tanga lakini sijui kama ipo bado.

Pombe mimi mwenyewe nimeacha tangu January 1 2024 hivi nakaribia mwaka sijagusa hata white wine.
 
Back
Top Bottom