Huyu Dada alikuwa ni kati ya Mashabiki wa kweli wa Yanga. Sasa hivi yuko wapi!?

Itakuwa kuna ustaadh mmoja kamuweka ndani akampiga marufuku mambo ya mamipira.

Kuna ile couple nyingine nayo sijaiona toka msimu uliopita, mwanaume Yanga, mwanamke Simba. Nao wamepotea kabisa ila nadhani mwanamke atakuwa kaikatia tamaa timu yake maana alikuwa anapata wakati mgumu sana.
 
Kiranga kumbe na wewe huwa unacheka!🤣
 
Huwezi ukawa na akili timamu, ukaishabikia simba.
 
Nashukuru!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…