Huyu Dada alikuwa ni kati ya Mashabiki wa kweli wa Yanga. Sasa hivi yuko wapi!?

Yupo sana Huwa tunasafiri nae na mumewe na mtoto wao ika yeye huwa anamfata MUMEWE kwenye mechi za yanga ndo huwa anakuja sana
Yupo sana nakumbuka mara ya mwisho nilisafiri nao MANUNGU msimu uliopita
 
I
La Casa ya wapi? Mimi nakumbuka kulikuwa na La Casa Tanga lakini sijui kama ipo bado.

Pombe mimi mwenyewe nimeacha tangu January 1 2024 hivi nakaribia mwaka sijagusa hata white wine.
Ipo La Casa Preciosa pale Tanga ni sehemu nzuri sana.

Huduma zao nilizipenda sana mara ya mwisho nimelala pale mwaka 2022.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…