Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Kwanza nianze kusema kuwa kwenye tasnia ya kununua makahaba nina uzoefu wa miaka 7+ ila nlichokiona kwa huyu dada Juzi kilinipa huzuni rohoni..
Juzi kati nlifika maeneo ya wadada wanaojiuza barabarani, kwenda kusuuza rungu, nkamchukua mdada mmoja tumefika chumbani, tukafanya yetu tukamaliza, nikamlipa, kiukweli huyo mdada alini-treat vizuri tu, baada ya tendo, nilimwangalia machoni ili nisome body language yake, nilimwona ana maumivu makali rohoni Yanayosababishwa na kazi yake ya kujiuza, ambayo anayaficha nisiyajue, kitu ambacho sikuwahi kukiona kwa kahaba yoyote hapo kabla, aisee nilimwonea huruma huyo mdada nikasema hii dunia dah😭😥