Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni Eryca si ndiyo mchumba wa Linex???
Hili swali muhimu nashangaa wapiga kelele hawajibu wameshika mwizi mwizi !Mkuu ni kwamba umewai kuonana nae au ndo wale wanaoomba nauli??? Ukute kuna watu wanatumia picha zake
Mkuu sio kweli huyo demu huenda ni yenye mwenyewe tusikatae moja kwa moja piaMbona unakuw na mambo ya ajab,,umchunguze nani,Mim nakusaidia ni watu wanatumia picha zake,,hizo picha ulizopost,alizipost kitambo,,,nenda fb..tafta agnes john...utaona account yake na alishatoa taarifa account yake iliibiw,,
Yani hii sura nakutana nayo mara kwa mara hasa magroup ya malaya whatsup ukiomba picha tu ya mrembo unatumiwa ya huyu dada ila majina yanakuwa tofauti tofauti
Kama walikupigisha pushups basi inabidi wakuteke tena!!! Lazima uwe ngangari sweetyNilikwambia nitatekwa ukadhania uongo, nimeteswa usiku kucha ndiyo nimeachiwa this time wamepora kila kitu na kinitesa kwa mazoezi makali ya ups&downs[emoji85] [emoji85] [emoji85] hapa sina hamu tena mupenzi weeh..![emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Ukiona hivyo wameibiwa kijingaHili swali muhimu nashangaa wapiga kelele hawajibu wameshika mwizi mwizi !
PoaMambo,
Huyu dada yupo! Na anapatikana sana Dar.mara ya mwisho nilimwona Capetown fish Market.Jamani eeeh,ukiona sura ya huyu dada inabidi mumuepuke
Ana majina mengi kweli mitandaoni ,muda mwengine anajiita Anna Charles ,muda mwengine Lucy shayo ,muda mwengine Angel Francis,Grace Dominic etc
Kuweni naye makini anajifanya anatafuta marafiki wa kiume kumbe anawaibia
Hahahah..! Sitekwi tena kizembe.Kama walikupigisha pushups basi inabidi wakuteke tena!!! Lazima uwe ngangari sweety
Hii ndio point ya msingi.. Sisi wanaume saa nyingine ujinga tuu kutapeliwa na mtu usiemjuaUlishawahi kukutana nae?
Maana wengine wanatumia picha za watu vibaya. Pengine anafanya hivyo kutumia picha ya mtu tu.
Ila matapeli wa hivyo wapo wengi mnoo. Kuweni makini
Ni kweliUlishawahi kukutana nae?
Maana wengine wanatumia picha za watu vibaya. Pengine anafanya hivyo kutumia picha ya mtu tu.
Ila matapeli wa hivyo wapo wengi mnoo. Kuweni makini
na mazingira ya kutapeliwa wanayataka wenyewe,Hii ndio point ya msingi.. Sisi wanaume saa nyingine ujinga tuu kutapeliwa na mtu usiemjua