Huyu dada ni lijizi lililoshindikana

Huyu dada ni lijizi lililoshindikana

Je wewe ni victim? Kama ni victim tuelezee alikuibiaje ili wengine wawe na tahadhari
 
Wewe unataka penzi la kuiba, na yy anataka pesa za kuiba, Wote n wezi
 
Mkuu wala usihangaike Coz kuzaliwa mwana mke mjini ni master ya biashara. Miamara ni Muda wowote.
 
Mbona unakuw na mambo ya ajab,,umchunguze nani,Mim nakusaidia ni watu wanatumia picha zake,,hizo picha ulizopost,alizipost kitambo,,,nenda fb..tafta agnes john...utaona account yake na alishatoa taarifa account yake iliibiw,,
Mkuu sio kweli huyo demu huenda ni yenye mwenyewe tusikatae moja kwa moja pia
 
Yani hii sura nakutana nayo mara kwa mara hasa magroup ya malaya whatsup ukiomba picha tu ya mrembo unatumiwa ya huyu dada ila majina yanakuwa tofauti tofauti

Na wewe unaenda huko kwa grp za malaya?
 
Nilikwambia nitatekwa ukadhania uongo, nimeteswa usiku kucha ndiyo nimeachiwa this time wamepora kila kitu na kinitesa kwa mazoezi makali ya ups&downs[emoji85] [emoji85] [emoji85] hapa sina hamu tena mupenzi weeh..![emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Kama walikupigisha pushups basi inabidi wakuteke tena!!! Lazima uwe ngangari sweety
 
Jamani eeeh,ukiona sura ya huyu dada inabidi mumuepuke

Ana majina mengi kweli mitandaoni ,muda mwengine anajiita Anna Charles ,muda mwengine Lucy shayo ,muda mwengine Angel Francis,Grace Dominic etc

Kuweni naye makini anajifanya anatafuta marafiki wa kiume kumbe anawaibia
Huyu dada yupo! Na anapatikana sana Dar.mara ya mwisho nilimwona Capetown fish Market.
Tatizo kuna mijanaume/wanawake wamefungua fake acc kwa picha zake.na wala hilo sio jina lake.kuna zaidi ya fake acc 30 kwenye mitandao ya jamii yenye picha za huyu mrembo
 
Ebhana hujakosea hilo lidada ata mm naliona sana halafu lina akaunti nyingi kweli facebook na insta. Ukiliomba namba linahitaji2000 kwanza ila lizuri mwanangu mpaka nasisimkaga yani
 
Wewe ni boya kama uliibiwa sina uhakika kama ni mwizi huyu dada lakini pia aliwahi kutoa tahadhari kwenye page yake ya insta kuhusu watu kutapeli kwa kutumia picha zake

Sasa kama wewe unatuma pesa kichwa kichwa wacha wakufundishe kazi.

Anyway nilitaka kusahau nina no yake nifuate PM utume 15000/= nikupe hiyo no

Kama mbwai na iwe mbwai
 
Ulishawahi kukutana nae?
Maana wengine wanatumia picha za watu vibaya. Pengine anafanya hivyo kutumia picha ya mtu tu.
Ila matapeli wa hivyo wapo wengi mnoo. Kuweni makini
Hii ndio point ya msingi.. Sisi wanaume saa nyingine ujinga tuu kutapeliwa na mtu usiemjua
 
Hii ndio point ya msingi.. Sisi wanaume saa nyingine ujinga tuu kutapeliwa na mtu usiemjua
na mazingira ya kutapeliwa wanayataka wenyewe,
mwanaume anaenda kama tapeli ataacha kutapeliwa kweli??
 
Huyo dada anaitwa Erica. Kwahyo wewe kaka ulietapeliwa jua kwamba kuna mtu anatumia picha za huyo Erca kutapeli watu. Huyo dada anadanga zake mjini hawezi kujiharibia biashara kwa kutapeli.
 
Back
Top Bottom