Huyu Daktari wa meno anastahili Pongezi

Sema kama akili inakubali kwa mbali picha ya kwanza alikuwa bado mtoto yaani hajafahamu urembo ya pili ni msichana vipodozi vimetenda maajabu.Mfano mimi picha zangu za udogo huwa zinanishangaza sana najikuta kama sio mimi
 
Duuuh
 
Mkuu,Ilikugharimu shilingi ngapi na je kwa sasa matokeo ni mazuri?
Pole mkuu,Kesi kama hizi zinaathiri sana kisaikolojia iwe kwa mtoto au mtu mzima,kwahio huduma kama hizi ni muhimu sana na kama mtu ana mtoto ana shida ya meno ni vizuri kumrekebishia mapema kama uwezo upo.
 
Gharama zake zipoje
 
Mimi kwa huku nilipo nilimpeleka dogo akawekewa hizo braces pamoja na hudumua za kua anabadilishwa hizo braces kila baada ya muda,ilichukua 3 years meno kukaa sawa na gharama ni kama 6m zakibongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…