Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mtu mmoja.. Sema picha zimechukuliwa katika umri tofauti pia meno yananaathiri urefu wa uso na mwonekano kwa ujumlaMkuu angalia tena nitakuwa wa mwisho kuamini hili
Nimekubali mkuu🙏🏽Ni mtu mmoja.. Sema picha zimechukuliwa katika umri tofauti meno unaathiri urefu wa uso na mwonekano kwa ujumla
🙆🏾Nimekubali mkuuUngekuwa hujafuturu ningekwambia nenda kale kwanza[emoji3]
DuuuhNikiwa mdogo nilikuwa naitwa minjino...ilikuwa experience mbaya sana, nilijichukia sana. Mwaka 2009 nikaamua kuweka braces baada ya kujichanga kwa muda kiasi. Niliambiwa na daktari chanzo cha meno yangu ya juu na ya chini kukaa vibaya ni kuwa nilikuwa nayasukuma nje kwa ulimi. Kabla ya kuwekewa braces nilifanyishwa mazoezi ya namna ya kuegemeza ulimi ili nisiwe nauegesha kwenye meno. Mwaka 2012 nikatolewa braces na sasa navaa retainers kila usiku asubuhi natoa. Retainers zinahakikisha meno yanabaki kwenye position inayotakiwa. Siku hizi huduma za kurekebisha meno zipo kwa wingi nchini kwa watoto na kwa watu wazima.Wenye tatizo la dental formation mbovu wasikate tamaa
Mkuu,Ilikugharimu shilingi ngapi na je kwa sasa matokeo ni mazuri?Nikiwa mdogo nilikuwa naitwa minjino...ilikuwa experience mbaya sana, nilijichukia sana. Mwaka 2009 nikaamua kuweka braces baada ya kujichanga kwa muda kiasi. Niliambiwa na daktari chanzo cha meno yangu ya juu na ya chini kukaa vibaya ni kuwa nilikuwa nayasukuma nje kwa ulimi. Kabla ya kuwekewa braces nilifanyishwa mazoezi ya namna ya kuegemeza ulimi ili nisiwe nauegesha kwenye meno. Mwaka 2012 nikatolewa braces na sasa navaa retainers kila usiku asubuhi natoa. Retainers zinahakikisha meno yanabaki kwenye position inayotakiwa. Siku hizi huduma za kurekebisha meno zipo kwa wingi nchini kwa watoto na kwa watu wazima.Wenye tatizo la dental formation mbovu wasikate tamaa
Gharama zake zipojeNikiwa mdogo nilikuwa naitwa minjino...ilikuwa experience mbaya sana, nilijichukia sana. Mwaka 2009 nikaamua kuweka braces baada ya kujichanga kwa muda kiasi. Niliambiwa na daktari chanzo cha meno yangu ya juu na ya chini kukaa vibaya ni kuwa nilikuwa nayasukuma nje kwa ulimi. Kabla ya kuwekewa braces nilifanyishwa mazoezi ya namna ya kuegemeza ulimi ili nisiwe nauegesha kwenye meno. Mwaka 2012 nikatolewa braces na sasa navaa retainers kila usiku asubuhi natoa. Retainers zinahakikisha meno yanabaki kwenye position inayotakiwa. Siku hizi huduma za kurekebisha meno zipo kwa wingi nchini kwa watoto na kwa watu wazima.Wenye tatizo la dental formation mbovu wasikate tamaa
Deep bite.Ni mtu mmoja,Urefu wa kidefu unaathiriwa na taya,na taya pia inaathiriwa na mpangilio wa meno
Ni wivu tuBora angebaki na meno yake ya kuzaliwa nayo aiseeeeee...🤨
Ili afanane na meno yako ya kwenye hiyo avatar?Bora angebaki na meno yake ya kuzaliwa nayo aiseeeeee...🤨
Huku arusha wanafanya 2.5mGharama zake zipoje
Picha Kwanza ndy alikuwa pic karWakuu,
Sijui Doctor kapitia hatua ngapi kurekebisha tabasamu ila kafanya kazi ya kutukuka.
Je unadhani binti angebaki na meno ya kuzaliwa au ni bora alifanya marekebisho?
View attachment 2186338