Huyu Daktari wa meno anastahili Pongezi

Hongera kwa kupata tabasamu la moyo
 
Hawa ni watu wawili tofauti kabisa, angalia mashavu,kidevu na paji la uso
Marekebisho ya meno yanachukua muda mrefu,miaka kadhaa,so inawezekana hizo picha mbili zina utofauti wa miaka plus marekebisho lazima uone utofauti
 
Mambo madogo kama muonekano wa meno hayawezi kutushughulisha sehemu kubwa ya sisi wanaume
Inawezekana,Ila hapo juu ameeleza jinsi alivyokuwa anaitwa majina ya ajabu tena tangu akiwa na umri mdogo mpaka leo anakumbuka,lazima ilimuathiri sana hata angekuwa mwanaume.
 
Inawezekana picha ya kwanza ilikuwa awakati ana umri mdogo hiyo nyingine ni baada ya miaka kadhaa
Ok nimepitia stoory yake huyo binti anaitwa Ellie na alianza surgery akiwa 16 akifanya operation iliyohusisha ukatwaji wa taya zote mbili yani ya juu na ya chini

Pia alifanya marekebisho madogo kwenye kidevu. Ellie baada ya surgey ililazimu kufanya diet kwa kula chakula cha kimiminika kwa kipindi cha mwezi mmoja


Ellie baada ya kukamilika kwa surgery hakuweza kuzungumza alitumia notepad kuwasiliana na watu. Kadri siku zilivyozidi kusogea aliweza kumung'unya baadhi ya maneno na alikuwa anaongelea ulimi (lisp) kulingana na mdomo ulivyokuwa umevimba.
 
Asante,kumbe amepiti mengi
 
unaonaje maendeleo lakini mkuu, hiyo huduma imekusaidia ? ,na je wataalamu wanasema itachukua muda gani mpaka kukaa sawa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…