Huyu DED wa Geita TC, Zahra Michuzi ni Mtoto wa Issa Michuzi aliyekuwa Mpiga picha wa Ikulu?

Huyu DED wa Geita TC, Zahra Michuzi ni Mtoto wa Issa Michuzi aliyekuwa Mpiga picha wa Ikulu?

Sasa watupe sisi na tupo Busy kulana kimasihara wanapeana wao tayari wanazielewa protocal za kuishi ukiwa kiongozi au na viongozi.
 
HKIKISHA UNAKUWA CHAWA, WA WATAWALA ILI UINGIE KWENYE UTAWALA
 
DED,DC,DED,DAS etc siku hizi Ni vyeo vya mzaha mzaha tu.Kijana wa Kijazi yeye katoka chuo tu akapewa cheo Cha DAS.Jiwe nae alimpa binti yake na mumewe vyeo hivyo vya DAS yaaani Ni fresh tu.
Majina yao muhimu au picha
 
Ndio ni binti wa Ankal Michuzi...ni huyo mwenye joho kulia

MMGM1187.jpg
Atakuwa alikwenda kumsaidia kusafisha picha alizopiga baba yake.
 
Watoto wa wakubwa wanapewa mivyeo Kisha watumbua mipesa tu ya Kodi za masikini
 
Back
Top Bottom