Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Kwamba huyu umegundua hawezi kazi ?Nepotism inakuwa Kwa Kasi sana Tanzania.
Ndio maana, nchi hii maendeleo hakuna, maana watu hawapewi nafasi kwasababu Wana uwezo wa kufanya kazi.
Wanawekwa kwasababu ni watoto wa vigogo wao.
DED kama huyo usitegemer atafanya chcochote Cha maana huko.
Sio sawa mtu kupewa kazi sababu ni mtoto wa fulani ila sio sawa kunyimwa kazi sababu ni mtoto wa fulani pia...
Pia kumbuka its an added advantage ukiwa mtoto wa mtu ya fani fulani (An Apple don't fall from the Tree), nitategemea with everything being equal mtoto wa Rais kwenye mambo ya siasa atakuwa vema kuliko mimi ambaye huenda nimekulia kwenye makuzi ambayo politics huenda ni msamiati So I need to have something Extra...