Huyu DED wa Geita TC, Zahra Michuzi ni Mtoto wa Issa Michuzi aliyekuwa Mpiga picha wa Ikulu?

Nepotism inakuwa Kwa Kasi sana Tanzania.

Ndio maana, nchi hii maendeleo hakuna, maana watu hawapewi nafasi kwasababu Wana uwezo wa kufanya kazi.

Wanawekwa kwasababu ni watoto wa vigogo wao.

DED kama huyo usitegemer atafanya chcochote Cha maana huko.
Kwamba huyu umegundua hawezi kazi ?

Sio sawa mtu kupewa kazi sababu ni mtoto wa fulani ila sio sawa kunyimwa kazi sababu ni mtoto wa fulani pia...

Pia kumbuka its an added advantage ukiwa mtoto wa mtu ya fani fulani (An Apple don't fall from the Tree), nitategemea with everything being equal mtoto wa Rais kwenye mambo ya siasa atakuwa vema kuliko mimi ambaye huenda nimekulia kwenye makuzi ambayo politics huenda ni msamiati So I need to have something Extra...
 
Sasa utambue kuwa DED ni nafasi ya kitaalamu (cheo kwa mtumishi) na sio nafasi ya kisiasa.

DED sifa yake ni kutoka katika miongoni mwa wakuu wa Idara za serikali hususani za serikali za mitaa. Mtumishi huyo awe na uzoefu wa walau miaka 7 katika nafasi ya ukuu wa Idara.

Ili uwe mkuu wa idara inatakiwa uwe na uzoefu wa kuanzia miaka 7 katika kazi na uwe umefika ngazi ya senior.

Kwa hiyo kimuundo, inachukua miaka 14 hivi mtu kupata sifa za kuwa DED..

Sasa ndio ulinganishe na maDED waliopo. Kabla hujajibu kuhusu utendaji kazi kuwa ndio kigezo, zingatia kuwa sheria na taratibu za sifa za maDED hazijabadilishwa
 
Kwamba huyu umegundua hawezi kazi ?

Sio sawa mtu kupewa kazi sababu ni mtoto wa fulani ila sio sawa kunyimwa kazi sababu ni mtoto wa fulani pia...

Pia kumbuka its an added advantage ukiwa mtoto wa mtu ya fani fulani (An Apple don't fall from the Tree), nitategemea with everything being equal mtoto wa Rais kwenye mambo ya siasa atakuwa vema kuliko mimi ambaye huenda nimekulia kwenye makuzi ambayo politics huenda ni msamiati So I need to have something Extra...
Yaani Ridhiwani Kikwete yupo vizuri kisiasa kuliko Zito Kabwe?
 
With everything else being equal asilimia kubwa angekuwa ni Zito Kikwete na Ridhiwani Kabwe huenda Zitto angekuwa na connection zaidi vilevile angejua how the political machinery works (yaani siasa being negotiations and compromising as well as lobbying)..., Kwahio huenda kwa sasa angekuwa a better politician kuliko alivyo (better not necessarily meaning good)

Ingawa being mwanaharakati, visionary na pioneer huenda ukitoka familia ambayo ipo marginalized ukawa mwanamapinduzi wa kweli (ile kiu ya kubadilisha mambo)

Kwahio politics especially now its all about connections sweet talking na negotiations hence yule ambaye anatoka kwenye political background anayo advantage ambayo mwingine anahitaji kuwa exceptional and way better kuliko yeye, just to be on the same level
 
Nepotism inakuwa Kwa Kasi sana Tanzania.

Ndio maana, nchi hii maendeleo hakuna, maana watu hawapewi nafasi kwasababu Wana uwezo wa kufanya kazi.

Wanawekwa kwasababu ni watoto wa vigogo wao.

DED kama huyo usitegemer atafanya chcochote Cha maana huko.
Nimemuangalia tu faster nikagundua hmm kitu Happ Ni system imembeba tu ajui lolote kwenye ishu za ardh ns Sheria zake cjui mm

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Babako akiwa mfanyabiashara,connection na marafiki zake wengi watakua wafanyabiashara. Watoto watakua inspired na biashara zaidi na inakua rahisi kwao kwa sababu ya connection na wazazi...ziko familia za walimu,madaktari,marubani,waganga,wanamuziki nk nk...iko hivo dunia nzima. Fanya kazi kwa bidii,kuwa karibu na watu waliofanikiwa ili wanao wasije kusota...acha wivu wa kijinga
 
Ndio ni Binti yake,kamaliza udom bila shaka mwaka 2015/16,hajawahi ku hustle huyo,katoka shule akatunukiwa ajira fasta!kwa jina la baba yake,
Ndani ya nchi hii,ni mwendo wa konection tu,
Dah nakumbuka kipindi tunasaga lami na babaake kabla hajazama rasmi ikulu,leo binti anakula matunda safi sana.
 
Babako akiwa mfanyabiashara,connection na marafiki zake wengi watakua wafanyabiashara. Watoto watakua inspired na biashara zaidi na inakua rahisi kwao kwa sababu ya connection na wazazi...ziko familia za walimu,madaktari,marubani,waganga,wanamuziki nk nk...iko hivo dunia nzima. Fanya kazi kwa bidii,kuwa karibu na watu waliofanikiwa ili wanao wasije kusota...acha wivu wa kijinga
Issue siyo kurithi nafasi ya wazazi wako. Hakuna anayelalamika Bakhresa kuweka watoto wake kwenye biashara zake.

Lakini serikali siyo Mali ya familia na hawawalipi wap, Ni pesa za walalahoi zinatumika
 
Back
Top Bottom