Hilo jamaa ni Li-DINI la KUPINDUKIA, kwake Mtawala au kiongozi kuwa MUISLAM ni sifa tosha kabisa na MUISLAM hakosei.Kwa namna jamaa alivyouliza swali, kwa kweli Sikutegemea hili jibu kutoka Kwako Mkuu!
Bado unalinda Garda?Sasa wqtupe sisis na tipo Busy kulana kimasihara wanapeana wao tayari wanazielewa protocal za kuishi ukiwa kiongozi au na viongozi.
Aisee. JIANGALIE utapasuliwa jicho Kama kina MbatiaHKIKISHA UNAKUWA CHAWA, WA WATAWALA ILI UINGIE KWENYE UTAWALA
Bado, unataka kunipa koneksheni ?Bado unalinda Garda?
Sina connection yoyoteBado, unataka kunipa koneksheni ?
DahKwa anayejua!!!
Majina yao muhimu au pichaDED,DC,DED,DAS etc siku hizi Ni vyeo vya mzaha mzaha tu.Kijana wa Kijazi yeye katoka chuo tu akapewa cheo Cha DAS.Jiwe nae alimpa binti yake na mumewe vyeo hivyo vya DAS yaaani Ni fresh tu.
TakbiiiirBaba yake Akiwa mpiga picha ndo inamnyima haki ya kuwa Ded?
Atakuwa alikwenda kumsaidia kusafisha picha alizopiga baba yake.Ndio ni binti wa Ankal Michuzi...ni huyo mwenye joho kulia
Kazamia china anatafutwa na DEDKwahiyo ameshafanya ni I?
..DC sio DeD..yeye ni DeDKazamia china anatafutwa na DED