Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,531
- 5,787
mkuu "qwaqe" ni kitu gani ?Nyie nao hamueleweki si kungur si mwewe, mkiombwa pesa mnalalamika ay umepata asie omba pesa bado unalalamika, alaf unataka upajue qwaqe ili uanze kumlipia kodi au kumbadilishia asset za ndani??, kama unampenda na una malengo mwambie akupeleke qwao maan qwaqe anaweza kufake