Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

unapoabudu!!
He's caring..God fearing
Fantastic performance.


Ooh GOD forbid! !
 
Me naomba kukushauri ktk jambo ambalo hutaki hata kulizungumzia,jambo ambalo umelihalalisha na huyo unayemuita "God fearing person" wakati Mungu amekataza kutamani mwanamke wa mtu mwingine. Ila yeye sio kutamani tu,anajilia kama kaoa yeye na bado unamsifu ni God fearing person.

Hebu heshimu ndoa yako,kama mumeo ni mlevi na ameshindwa kuachana na hicho kimada chake,ulijaribu kuwahusisha wazazi wenu au wasimamizi wa ndoa yenu??

Mbona solutions zipo nyingi,rahisi na nzuri tu??

Katika familia,mama ndio unategemewa kusimamia malezi ya watoto wako kwa kiasi kikubwa maana ww ndio utakuwa nao sana kuliko Baba.

Sasa kwa style hiyo tutarajie nini kwa wanao?.

Anyway huyo mnayeabudu nae ukiona sio,this time jaribu mfanyakazi mwenzio.
 
Ushauri mzuri ila huyo tax driver akiambiwa ataona kama fix, yani anabaniwa
 
Haki ya mama ndo maana siwaamini wanawake wa kanisani na watumishi wao duh eti god fearing and good performance, Jesus Classic!!
 
Sababu ya mumeo kupiga ulabu ni wewe kuwa kicheche tangu zamani ndio maana akatafuta plan b yaani kupiga ulabu, na nakuhakikishia atakaye pigwa kiboga ni huyo mshirika mwezako na wala sio tax driver subiri uone kama unadhani mumeo ni fala,
 
nimekukubali
 
mtoa mada, si ungesema kuwa umetoa penzi kwa dereva tax coz ulipenda mwenyewe, sio kwasababu mmeo alikucheat au uyo dereva alikusumbua...bila shaka una wanaume wengine wanaokukaza mbali na uyo dereva irene naipanoi
 
Hapo unaomba ushauri kumalizana na dereva wakati huo yule God fearing mnaendeleaa nitakuja kukushauri ukileta part two yatakapokuwa yameharibika kwa huyu God fearing
 
Nashindwa nikutukane tusi lipi!!!!!? yaani umekwenda kutafuta mchepuko sehemu unayoabudia wakati ww ni mke wa mtu
siwezi kukuacha bure Shenz w...... mat.....!
 
Huoni hata aibu kumuita mtu God fearing wakati ndio mshirika wako kwenye uasherati! Shame on you!

Siku "God fearing" ni kuhudhuria ibada tu ma kutoa sadaka.
Bila aibu wanaitana God fearing.......
Tunarahusisha sana haya mambo!!!!
 
ID yako inaonyesha kabsa you are chronic prostitu, acha hyo tabia ni mbaya
 
Huko mnakoabudu kumbe mnatiana pia................hii dunia hii
 
Eti anahofu ya Mungu, halafu mmeshavunja amri ya sita.
Wewe endelea kugawa tu kama pipi, habari za kanisa weka pembeni yani hapo ndipo ulipo haribu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…