golwebo_mkuu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 2,270
- 693
heshima pesa ndevu urembo
hii makala Ishawahi kuandikwa kwenye gazeti la Ijumaa Mwandishi Akiwa ni Bro Joseph Shaluwa ingawa umejaribu kuibadilisha sana lakini kuna Vitu bado umesahau kuviondoa...
Mpe taarifa huyo tax driver mwambie uliteleza tu kwa kufanya naye mapenzi na unampenda sana mumeo, pia mweleze kuwa message yake imeonwa na mumeo, na anapanga kumfumania ili naye ageuzwe mke na mabaunsa. So aachane kabisa na wewe. Natumai atakuelewa na mpango wa mumeo utashindikana. Kama dereva ataendelea kuwa king'ang'anizi, mwache aolewe, kiranga huwa haliliwi.