Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

kweli we malaya kila unapoenda unapiga tukio aya imebaki uende kwenye msiba utoke na wafiwa acha umalaya ww linda ndoa
 
Mnaweza sema kila aina ya maneno hapo cjui kama atasikia tayari kapepo kauzinzi kameishamshika na God fearing wake yanaingilia kushoto yanatokea kulia tu
 
Hivi ulivyojieleza hivi mmeo kama hupita humu JF si kesha kujua?
 
Mmeo amekusaliti na wala hujamshuhudia, ww tayari umeshasaliti kwa wanaume wawili, hapo bado wale ambao hujawataja:sly:

Mwanamke Unasaliti ndoa? Mbaya zaidi unakuja kuomba ushauri wa namna gani taxi driver akwepe fumanizi, hujutuii kuendelea kusaliti ndoa kwa huyo mtu wa kanisani, tena unamuita ni God Fearing wakati anatembea na mke wa mtu:what:

Ama kweli haya ndio matokeo ya malezi ya kisasa + kitchen parties....
 

Nasikia ni chai kumbe bana

BTW naomba kuelimishwa mnatupigana vipi hadi kugundua hivi "....... his performance is much better than my husband and the tax driver's"?
 
Fikiri NJE YA BOKSI. Vipi kama mumeo akitumia Hilo fumanizi la kutengeneza kukubwaga?

Huo mpango wa mumeo una Hila ndani yake na usipokuwa makini utaumia. Kufumania au kufumaniwa ni kitendo cha fedheha, vipi mumeo afanye mpango wa kukufedhehesha?
 
Hahaaaaaaa si unapimwa utendaji wako..... na ufundi unaotoa plus utamu utakaopatikana



Nasikia ni chai kumbe bana

BTW naomba kuelimishwa mnatupigana vipi hadi kugundua hivi "....... his performance is much better than my husband and the tax driver's"?
 
Sista umewasha moto kwa gunia zima, andaa pipa la kuuzima. Mwanamke huwezi kumlipizia mmeo.
 
Siku zote ukifanya uzinzi unakuwa zezeta. mtu yeyote aziniye na mwanamke au mwanamme hana akili kabisa!!. Sio kosa lako kufanya hivyo pole sana!!!!!!!!!!11
 
Silaha ya Uzinzi ni kumuogopa Mungu


Hii hai-apply kwa mleta mada na muumini mwenzie!

Ndo nashangaa na mimi mkuu, kumbe kuna God fearing mchepuko!!! nilikuwa sijui kabisaaa
 
kwanza...naomba umwambie mumeo na mimi aniunganishe kwenye hiyo ishu ya kwenda kumuoa huyo Tax Driver mimi ndio michezo yangu hiyo aiseee
 
Halafu anayevunja ndoa sio huyo dereva ni huyo wa kanisani maana huko ndio umekolea mpaka mumeo umemsahau

Samahani sana mkuu, hakuna anayeweza kumvunjia ndoa yake. Yeye ndo ataivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.
 
Unejaribu kuonyesha udhaifu wa mumeo ili kuhalisha uzinzi wako, unaligawa tu hilo papuchi, kifupi wewe sio mke ila ni jamvi la wageni!
 
Unejaribu kuonyesha udhaifu wa mumeo ili kuhalisha uzinzi wako, unaligawa tu hilo papuchi, kifupi wewe sio mke ila ni jamvi la wageni!

Uhhhh ujumbe mzito... jamvi tena mkuu hahahaha dah
 
Either way anataka akufumanie na wewe. Mpaka ukakutwa gesti na mwanaume ulikwenda kufanya nini nae? Sijawahi kuona fumanizi la mtu mmoja. Kakugundua anataka akuaibishe na wewe kisha akuteme. Hivi ndugu zenu wakisikia umekutwa gesti na mwanaume kuna atakaeelewa ni mtego ulichongwa? Akili za mbayuwayu changanya na zako!
 

Kama unamuonea huruma kwanini usimwambie kuwa wewe ulishalala nae na bado anaendelea kukusumbua.... mboga yako tamu....haha... anyway mwambie mmeo kuwa chanzo cha hayo yote ni yeye kutokukujali na kuendeleza mapenz na huyo mtu ambaye ulikuwa unahisi alikuwa ana hook nae....Kazia hapo tena kazia sana....

Ila acha umapepe mpende mmeo... dawa ya moto sio kila wakati ni moto

Hapo utamponyesha huyo ex boy wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…