😁😁😁😁 13Cm??Alisahau maji ya urefu wa 13cm yanatosha kabisa kusomba gari
Yes kitaalamu wanasema hivyo yakiwa yanatembea yanaweza kubeba gari, hata huyo Dereva sidhani kama yalimbeba yakiwa na kina kirefu sana.😁😁😁😁 13Cm??
Mungu anatutaka tuchukue tahadhari na wala tusijiue,ndio maana hata kwasisi waislamu hata kama unaswali na unaona kuna hatar basi acha kuswali na chukua tahadharikama angefanikisha kuvuka hapo mngemsema? si mngemsifia kwa miyowe
hapo tuseme ni ajali kazini na kama wamefariki basi wakapumzike kwa amani siku yao ilikua imefika
Kama unajua ''sayansi'' iliyo nyuma ya ''kwanini gari linasombwa na maji'' huwezi kufanya ujinga kama huu. Watu wengi hudhani ukubwa au uzito wa gari utakuwa kinga ya kusombwa kwenye maji. Na mvua zinapokuwa kubwa ni lazima kuna gari itasombwa kwa ukaidi wa dereva kudharau nguvu ya maji. Watu husema katu usidharau nguvu ya maji hata kama unaona siyo mengi.Hivi watanzania au waafrika huwa tunawazaga nini?
Yeye aliona gari lake kubwa na huenda lina mzigo litakuwa zito kutosombwa na maji
Huyo dereva hamnazo. Tajiri anajinyima, ananunua gari, anamuajiri derevq na kumkabidhi gari, halafu anaenda kuliangusha kijinga kama hivyo, jamaa akimpiga shaba tutamlaumu?
Vv
Hiki kinaitwa kifo cha kujitakia . maiti yake inapaswa kula viboko huko mochwariNimetumiwa hii clip ikazidi
Kunishangaza,maana kuna madereva bado hawajifunzi sijui ni ukichaa
Ujuaji mwingi !
Mtu unaona kabisa kuna mafuriko kuna hali ya hatari wewe unapitisha chuma hapo!
Kwa wenzetu uzoefu wangu nnayoonaga mfano snow(barafu)likiwa kali mpk barabara inakuwa kama kioo inatereza huwezi ona watu wakitumia vyombo vya moto ovyo
Ila kwa Tanzania madereva ujuaji mwingi
Ngoja nisindikize uzi na kkideo, sasa mtu kama huyu mtasema mungu alimpenda zaidi
Ova
Mshana Jr
Kiranga
King Kong III
View attachment 3558099
View attachment 3558107
😁😁Ni kiashiria kuwa Dunia ya sasa haina muda na upumbavu
Unakufa Baada ya watu kukusaidia wao wanatafuta Viewer