Ni almost miaka kadhaa, nimekua nikimsoma huyu jamaa, lakini nimekuja kugundua kwa sisi vipanga wala kodi za wajinga kama huyu GENTAMYCINE, ni kweli huyu mtu ni wale wapenda sifa wa darasa wasiokua na uwezo,
nimemkumbuka jamaa yangu mmoja special school miaka ya 2003s tukiwa Olevel, ilitokea ubishani mkubwa sana ambao aliuanzisha yeye mwenyewe, kwamba nimependelewa kua mtu wa kwanza, ilikua mtihani wa mwezi wa sita, ikabidi walimu warudie kusahihisha baadhi ya masomo, by the way yeye alikua mtu wa tano huko ila alikua rafiki ya jamaa aliyekua mtu wa pili, basi ngoma ikawekwa kati, walimu wakasahihisha upya , ngoma ikagota vile vile, nikawa wa kwanza, lakini ni kama alikua hanikubali tu sababu sikua serious sana na shule na nilitokea shule ya mtaani, yaani mhuni, mchana shule jioni pool table,
baada ya matokeo nilmfuata nikamwambia october tuna mtihani wa taifa, natumaini malalamiko yako utayapeleka NECTA, kuanzia hapo tukawa hatuongeleshani, wao ni msuli tembo tu, mwamba mimi kama kawaida aste aste msuli sisimizi,
Mara October hii hapa, tukapiga paper zile mbwa nilipiga A zote wao wakachanganya mara B mara C, zawadi ya shule, wilaya na mkoa nikapewa,
lakini mara hii nilimfuata nikamhakikishia amshukuru Mungu mitihani inayosahihishwa shule walimu wanakubali kurudia kusahihisha lakini nilimuapia hakuna siku mtihani wowote wa taifa wangeniacha,
Mara papa form four hii hapa, kama kawaida single digit,
Advance wakapata div. three huko PCM, mwamba single digit
siku hizi wananiulizia niko nchi gani wao wakiwa huko sijui Geita
Ninachotaka kusema ni kua huyu mwamba sijui Gentamycine hana lolote, ni ujuaji tu, apuuzwe,
Hakuna mtu mwenye akili yaani akili kweli ana act hivyo, kuhusu kusoma sijui SAUT no comment maana ni aibu, STANFORD, HAVARD ama MIT hakuziona, huyo hana lolote anawatisha wapumbavu sababu hili ni jukwaa huru, hata Mahiga, S.A.S waliaminiwa wakiwa at their 20s sababu ya uwezo
huyu akili kisoda