secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Hahaha š¤£, dah!Kabisa naunga mkia hili jambo.

Nakubaliana na wewe, Gentamycine hana akili kabisa, ana IQ ndogo sanaNi almost miaka kadhaa, nimekua nikimsoma huyu jamaa, lakini nimekuja kugundua kwa sisi vipanga wala kodi za wajinga kama huyu GENTAMYCINE, ni kweli huyu mtu ni wale wapenda sifa wa darasa wasiokua na uwezo,
nimemkumbuka jamaa yangu mmoja special school miaka ya 2003s tukiwa Olevel, ilitokea ubishani mkubwa sana ambao aliuanzisha yeye mwenyewe, kwamba nimependelewa kua mtu wa kwanza, ilikua mtihani wa mwezi wa sita, ikabidi walimu warudie kusahihisha baadhi ya masomo, by the way yeye alikua mtu wa tano huko ila alikua rafiki ya jamaa aliyekua mtu wa pili, basi ngoma ikawekwa kati, walimu wakasahihisha upya , ngoma ikagota vile vile, nikawa wa kwanza, lakini ni kama alikua hanikubali tu sababu sikua serious sana na shule na nilitokea shule ya mtaani, yaani mhuni, mchana shule jioni pool table,
baada ya matokeo nilmfuata nikamwambia october tuna mtihani wa taifa, natumaini malalamiko yako utayapeleka NECTA, kuanzia hapo tukawa hatuongeleshani, wao ni msuli tembo tu, mwamba mimi kama kawaida aste aste msuli sisimizi,
Mara October hii hapa, tukapiga paper zile mbwa nilipiga A zote wao wakachanganya mara B mara C, zawadi ya shule, wilaya na mkoa nikapewa,
lakini mara hii nilimfuata nikamhakikishia amshukuru Mungu mitihani inayosahihishwa shule walimu wanakubali kurudia kusahihisha lakini nilimuapia hakuna siku mtihani wowote wa taifa wangeniacha,
Mara papa form four hii hapa, kama kawaida single digit,
Advance wakapata div. three huko PCM, mwamba single digit
siku hizi wananiulizia niko nchi gani wao wakiwa huko sijui Geita
Ninachotaka kusema ni kua huyu mwamba sijui Gentamycine hana lolote, ni ujuaji tu, apuuzwe,
Hakuna mtu mwenye akili yaani akili kweli ana act hivyo, kuhusu kusoma sijui SAUT no comment maana ni aibu, STANFORD, HAVARD ama MIT hakuziona, huyo hana lolote anawatisha wapumbavu sababu hili ni jukwaa huru, hata Mahiga, S.A.S waliaminiwa wakiwa at their 20s sababu ya uwezo
huyu akili kisoda
hakuna ubaya mkuu, ni mfano tu kaka mkubwašNakubaliana na wewe, Gentamycine hana akili kabisa, ana IQ ndogo sana
Ila naomba tu nikuulize, kwani kuna ubaya gani kuishi Geita, maana nimeona umeandika as if kuishi Geita ni kitu kibaya hivi š¤
Itās extremely rare kukuta kipanga anajitangaza kuwa yeye ni kipanga.Ni almost miaka kadhaa, nimekua nikimsoma huyu jamaa, lakini nimekuja kugundua kwa sisi vipanga wala kodi za wajinga kama huyu GENTAMYCINE, ni kweli huyu mtu ni wale wapenda sifa wa darasa wasiokua na uwezo,
nimemkumbuka jamaa yangu mmoja special school miaka ya 2003s tukiwa Olevel, ilitokea ubishani mkubwa sana ambao aliuanzisha yeye mwenyewe, kwamba nimependelewa kua mtu wa kwanza, ilikua mtihani wa mwezi wa sita, ikabidi walimu warudie kusahihisha baadhi ya masomo, by the way yeye alikua mtu wa tano huko ila alikua rafiki ya jamaa aliyekua mtu wa pili, basi ngoma ikawekwa kati, walimu wakasahihisha upya , ngoma ikagota vile vile, nikawa wa kwanza, lakini ni kama alikua hanikubali tu sababu sikua serious sana na shule na nilitokea shule ya mtaani, yaani mhuni, mchana shule jioni pool table,
baada ya matokeo nilmfuata nikamwambia october tuna mtihani wa taifa, natumaini malalamiko yako utayapeleka NECTA, kuanzia hapo tukawa hatuongeleshani, wao ni msuli tembo tu, mwamba mimi kama kawaida aste aste msuli sisimizi,
Mara October hii hapa, tukapiga paper zile mbwa nilipiga A zote wao wakachanganya mara B mara C, zawadi ya shule, wilaya na mkoa nikapewa,
lakini mara hii nilimfuata nikamhakikishia amshukuru Mungu mitihani inayosahihishwa shule walimu wanakubali kurudia kusahihisha lakini nilimuapia hakuna siku mtihani wowote wa taifa wangeniacha,
Mara papa form four hii hapa, kama kawaida single digit,
Advance wakapata div. three huko PCM, mwamba single digit
siku hizi wananiulizia niko nchi gani wao wakiwa huko sijui Geita
Ninachotaka kusema ni kua huyu mwamba sijui Gentamycine hana lolote, ni ujuaji tu, apuuzwe,
Hakuna mtu mwenye akili yaani akili kweli ana act hivyo, kuhusu kusoma sijui SAUT no comment maana ni aibu, STANFORD, HAVARD ama MIT hakuziona, huyo hana lolote anawatisha wapumbavu sababu hili ni jukwaa huru, hata Mahiga, S.A.S waliaminiwa wakiwa at their 20s sababu ya uwezo
huyu akili kisoda
Bwana mkubwa hayo mambo ni ya kawaida, unataka nani anisemee, hizo corrections zako pia ni minor sana, haziathiri lengo la uzi,Itās extremely rare kukuta kipanga anajitangaza kuwa yeye ni kipanga.
BTW, kuna tofauti kubwa kati ya kua na kuwa!
mkuu sina maana mbaya, ni vile tu mimi mtu akiongelea kuhusu kutoa uhai wa mtu yeyote, namtreat tofauti kabisa, hata kama mtu huyo amefanya jambo gani baya, uhai hua ni wa Mwenyezi Mungu,Kwamba unakula kodi za wajinga kilaini
kumkimbiza mtu unatakiwa uwe na akili sharp ya maisha, kwa kifupi uwe na hela, sasa umeishia kua boda boda unategemea nNi almost miaka kadhaa, nimekua nikimsoma huyu jamaa, lakini nimekuja kugundua kwa sisi vipanga wala kodi za wajinga kama huyu GENTAMYCINE, ni kweli huyu mtu ni wale wapenda sifa wa darasa wasiokua na uwezo,
nimemkumbuka jamaa yangu mmoja special school miaka ya 2003s tukiwa Olevel, ilitokea ubishani mkubwa sana ambao aliuanzisha yeye mwenyewe, kwamba nimependelewa kua mtu wa kwanza, ilikua mtihani wa mwezi wa sita, ikabidi walimu warudie kusahihisha baadhi ya masomo, by the way yeye alikua mtu wa tano huko ila alikua rafiki ya jamaa aliyekua mtu wa pili, basi ngoma ikawekwa kati, walimu wakasahihisha upya , ngoma ikagota vile vile, nikawa wa kwanza, lakini ni kama alikua hanikubali tu sababu sikua serious sana na shule na nilitokea shule ya mtaani, yaani mhuni, mchana shule jioni pool table,
baada ya matokeo nilmfuata nikamwambia october tuna mtihani wa taifa, natumaini malalamiko yako utayapeleka NECTA, kuanzia hapo tukawa hatuongeleshani, wao ni msuli tembo tu, mwamba mimi kama kawaida aste aste msuli sisimizi,
Mara October hii hapa, tukapiga paper zile mbwa nilipiga A zote wao wakachanganya mara B mara C, zawadi ya shule, wilaya na mkoa nikapewa,
lakini mara hii nilimfuata nikamhakikishia amshukuru Mungu mitihani inayosahihishwa shule walimu wanakubali kurudia kusahihisha lakini nilimuapia hakuna siku mtihani wowote wa taifa wangeniacha,
Mara papa form four hii hapa, kama kawaida single digit,
Advance wakapata div. three huko PCM, mwamba single digit
siku hizi wananiulizia niko nchi gani wao wakiwa huko sijui Geita
Ninachotaka kusema ni kua huyu mwamba sijui Gentamycine hana lolote, ni ujuaji tu, apuuzwe,
Hakuna mtu mwenye akili yaani akili kweli ana act hivyo, kuhusu kusoma sijui SAUT no comment maana ni aibu, STANFORD, HAVARD ama MIT hakuziona, huyo hana lolote anawatisha wapumbavu sababu hili ni jukwaa huru, hata Mahiga, S.A.S waliaminiwa wakiwa at their 20s sababu ya uwezo
huyu akili kisoda
Kiumbe cha ******* ni Baba yako Mzazi.Japo hicho kiumbe na cha ******* lakini na wewe umejipromote mno thus wote wewe na yeye ni vilaza
kwa hiyo kaka umeamua unitangaze humu jukwaani?Ni kweli shule inasaidia sana katika maendeleo binafsi ya maisha.
Ila pia tusidharau mtu maana imeandikwa
Muhubiri 9:11
"Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote."
Kufeli shule sio Kwamba ndio umefeli maisha. Na kupata As sio kwamba ndio umepata guarantee ya kufanikiwa maisha.
Mfano Mdogo wangu anayenifuata amereset mitihan wa Necta mara 2.
Ndio Akafanikiwa kupata credit ya form 5.
Inashort hakuwah chaguliwa shule za serikali hata O Level (kupata A kwake ni mbinde).
Ila sasahiv yuko Dodoma Ikulu Chamwino. Analipwa mara 2 zaid yangu ambae sikuwah kufeli hata darasa moja. Na benefits za kutosha.
(Hayuko jf hawez ona hii akanijua)