Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Ni kweli shule inasaidia sana katika maendeleo binafsi ya maisha.
Ila pia tusidharau mtu maana imeandikwa
Muhubiri 9:11
"Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote."
Kufeli shule sio Kwamba ndio umefeli maisha. Na kupata As sio kwamba ndio umepata guarantee ya kufanikiwa maisha.
Mfano Mdogo wangu anayenifuata amereset mitihan wa Necta mara 2.
Ndio Akafanikiwa kupata credit ya form 5.
Inashort hakuwah chaguliwa shule za serikali hata O Level (kupata A kwake ni mbinde).
Ila sasahiv yuko Dodoma Ikulu Chamwino. Analipwa mara 2 zaid yangu ambae sikuwah kufeli hata darasa moja. Na benefits za kutosha.
(Hayuko jf hawez ona hii akanijua)