Sijui kwa nini nafurahi kumtania popoma ila yeye akiona matani yangu anakasirika na kunishtaki kwa mods a.k.a dawati la jinsia .We jamaa ni kunguru tu, ume vizia usiku wa manane ukijua GENTAMYCINE atakuwa kalala.
hivyo uka amua ushushe majigambo yako, ngoja pakuche😁😂
Wewe Pimbi umetumwa au? Leo sitaki maneno na Mtu kwani nimetoka Ibadani ila Kesho Jumatatu ndiyo utanitambua.Ni almost miaka kadhaa, nimekua nikimsoma huyu jamaa, lakini nimekuja kugundua kwa sisi vipanga wala kodi za wajinga kama huyu GENTAMYCINE, ni kweli huyu mtu ni wale wapenda sifa wa darasa wasiokua na uwezo,
nimemkumbuka jamaa yangu mmoja special school miaka ya 2003s tukiwa Olevel, ilitokea ubishani mkubwa sana ambao aliuanzisha yeye mwenyewe, kwamba nimependelewa kua mtu wa kwanza, ilikua mtihani wa mwezi wa sita, ikabidi walimu warudie kusahihisha baadhi ya masomo, by the way yeye alikua mtu wa tano huko ila alikua rafiki ya jamaa aliyekua mtu wa pili, basi ngoma ikawekwa kati, walimu wakasahihisha upya , ngoma ikagota vile vile, nikawa wa kwanza, lakini ni kama alikua hanikubali tu sababu sikua serious sana na shule na nilitokea shule ya mtaani, yaani mhuni, mchana shule jioni pool table,
baada ya matokeo nilmfuata nikamwambia october tuna mtihani wa taifa, natumaini malalamiko yako utayapeleka NECTA, kuanzia hapo tukawa hatuongeleshani, wao ni msuli tembo tu, mwamba mimi kama kawaida aste aste msuli sisimizi,
Mara October hii hapa, tukapiga paper zile mbwa nilipiga A zote wao wakachanganya mara B mara C, zawadi ya shule, wilaya na mkoa nikapewa,
lakini mara hii nilimfuata nikamhakikishia amshukuru Mungu mitihani inayosahihishwa shule walimu wanakubali kurudia kusahihisha lakini nilimuapia hakuna siku mtihani wowote wa taifa wangeniacha,
Mara papa form four hii hapa, kama kawaida single digit,
Advance wakapata div. three huko PCM, mwamba single digit
siku hizi wananiulizia niko nchi gani wao wakiwa huko sijui Geita
Ninachotaka kusema ni kua huyu mwamba sijui Gentamycine hana lolote, ni ujuaji tu, apuuzwe,
Hakuna mtu mwenye akili yaani akili kweli ana act hivyo, kuhusu kusoma sijui SAUT no comment maana ni aibu, STANFORD, HAVARD ama MIT hakuziona, huyo hana lolote anawatisha wapumbavu sababu hili ni jukwaa huru, hata Mahiga, S.A.S waliaminiwa wakiwa at their 20s sababu ya uwezo
huyu akili kisoda
Mkuu umenifanya nicheke sana. Eti ngoja pakuche....We jamaa ni kunguru tu, ume vizia usiku wa manane ukijua GENTAMYCINE atakuwa kalala.
hivyo uka amua ushushe majigambo yako, ngoja pakuche😁😂
Mrembo wangu nani anakusumbua nimgonge nyundoWewe Pimbi umetumwa au? Leo sitaki maneno na Mtu kwani nimetoka Ibadani ila Kesho Jumatatu ndiyo utanitambua.
Hii vita ngoja niisubiriWewe Pimbi umetumwa au? Leo sitaki maneno na Mtu kwani nimetoka Ibadani ila Kesho Jumatatu ndiyo utanitambua.
Wewe umeandika ili kujisifu kupiga A au kumponda Charismatic Fella Popoma Genta? Wewe uwezo wako wa kiakili ni mdogo mno ndo maana unamuonea wivu mtu usiyemjua. Halafu humu JF wote tulipiga One form 4 na 6 kombi za PCM na PCB.Ni almost miaka kadhaa, nimekua nikimsoma huyu jamaa, lakini nimekuja kugundua kwa sisi vipanga wala kodi za wajinga kama huyu GENTAMYCINE, ni kweli huyu mtu ni wale wapenda sifa wa darasa wasiokua na uwezo,
nimemkumbuka jamaa yangu mmoja special school miaka ya 2003s tukiwa Olevel, ilitokea ubishani mkubwa sana ambao aliuanzisha yeye mwenyewe, kwamba nimependelewa kua mtu wa kwanza, ilikua mtihani wa mwezi wa sita, ikabidi walimu warudie kusahihisha baadhi ya masomo, by the way yeye alikua mtu wa tano huko ila alikua rafiki ya jamaa aliyekua mtu wa pili, basi ngoma ikawekwa kati, walimu wakasahihisha upya , ngoma ikagota vile vile, nikawa wa kwanza, lakini ni kama alikua hanikubali tu sababu sikua serious sana na shule na nilitokea shule ya mtaani, yaani mhuni, mchana shule jioni pool table,
baada ya matokeo nilmfuata nikamwambia october tuna mtihani wa taifa, natumaini malalamiko yako utayapeleka NECTA, kuanzia hapo tukawa hatuongeleshani, wao ni msuli tembo tu, mwamba mimi kama kawaida aste aste msuli sisimizi,
Mara October hii hapa, tukapiga paper zile mbwa nilipiga A zote wao wakachanganya mara B mara C, zawadi ya shule, wilaya na mkoa nikapewa,
lakini mara hii nilimfuata nikamhakikishia amshukuru Mungu mitihani inayosahihishwa shule walimu wanakubali kurudia kusahihisha lakini nilimuapia hakuna siku mtihani wowote wa taifa wangeniacha,
Mara papa form four hii hapa, kama kawaida single digit,
Advance wakapata div. three huko PCM, mwamba single digit
siku hizi wananiulizia niko nchi gani wao wakiwa huko sijui Geita
Ninachotaka kusema ni kua huyu mwamba sijui Gentamycine hana lolote, ni ujuaji tu, apuuzwe,
Hakuna mtu mwenye akili yaani akili kweli ana act hivyo, kuhusu kusoma sijui SAUT no comment maana ni aibu, STANFORD, HAVARD ama MIT hakuziona, huyo hana lolote anawatisha wapumbavu sababu hili ni jukwaa huru, hata Mahiga, S.A.S waliaminiwa wakiwa at their 20s sababu ya uwezo
huyu akili kisoda
Popoma ndo mtu pekee ambaye akianzisha uzi wowote haiwezi fika comments 4 bila kushambuliwa.Sijui kwa nini nafurahi kumtania popoma ila yeye akiona matani yangu anakasirika na kunishtaki kwa mods a.k.a dawati la jinsia .
Siku hizi amepunguza kutukana, natumai soon atakuwa raia mwema.Popoma ndo mtu pekee ambaye akianzisha uzi wowote haiwezi fika comments 4 bila kushambuliwa.
😅😅We jamaa ni kunguru tu, ume vizia usiku wa manane ukijua GENTAMYCINE atakuwa kalala.
hivyo uka amua ushushe majigambo yako, ngoja pakuche😁😂
Kuna uzi wake mmoja amewahi kuniunganisha na mimi katika hili, akidai kwamba mimi pia ni ID yako ya mtumba hivyo mods wanizingatie katika kifungo, hapo ndo nikazibitisha huemda haya madai yanayo muhusu jamaa ni kweli beseni limeyumba kama lile la Dstv.Sijui kwa nini nafurahi kumtania popoma ila yeye akiona matani yangu anakasirika na kunishtaki kwa mods a.k.a daw
Popoma bhana🤣🤣🤣Wewe Pimbi umetumwa au? Leo sitaki maneno na Mtu kwani nimetoka Ibadani ila Kesho Jumatatu ndiyo utanitambua.
Wewe ndo mwenye akili kuwazidi hao wote, na wala hata hauringi ... hahahahaWote mna sifa tu..ila kama akili kweli nahisi umempita
Nikukumbushe tu sio wala kodi wala sio walio nje ndo wana UWEZO sana..ni matukio tu niseme yasiyotarajiwa hutokea