Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Uko sahihi kabisa mkuu... halafu kwa nchi kama yetu kusoma mavitu magumu haiku-guarantee maisha safi... watu wengi wenye maisha soft walijisomea zao kombi za arts na biashara sasa hivi wanakula mema.Ni kweli shule inasaidia sana katika maendeleo binafsi ya maisha.
Ila pia tusidharau mtu maana imeandikwa
Muhubiri 9:11
"Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote."
Kufeli shule sio Kwamba ndio umefeli maisha. Na kupata As sio kwamba ndio umepata guarantee ya kufanikiwa maisha.
Mfano Mdogo wangu anayenifuata amereset mitihan wa Necta mara 2.
Ndio Akafanikiwa kupata credit ya form 5.
Inashort hakuwah chaguliwa shule za serikali hata O Level (kupata A kwake ni mbinde).
Ila sasahiv yuko Dodoma Ikulu Chamwino. Analipwa mara 2 zaid yangu ambae sikuwah kufeli hata darasa moja. Na benefits za kutosha.
(Hayuko jf hawez ona hii akanijua)
Huyu jamaa asipotinduliwa nami akili yake haiwezi Kaa vyema.Kuna uzi wake mmoja amewahi kuniunganisha na mimi katika hili, akidai kwamba mimi pia ni ID yako ya mtumba hivyo mods wanizingatie katika kifungo, hapo ndo nikazibitisha huemda haya madai yanayo muhusu jamaa ni kweli beseni limeyumba kama lile la Dstv.
kweli gentamycine huna akili mwanzo nilikuwa nakukubali sana ili mda umexema tu kumbe zipo kawaida tuu!Wewe Pimbi umetumwa au? Leo sitaki maneno na Mtu kwani nimetoka Ibadani ila Kesho Jumatatu ndiyo utanitambua.
Kiukweli naona hadi amechanganyikiwa kiasi kwamba kila mtu anayemuona anafikiri ni wewe.Huyu jamaa asipotinduliwa nami akili yake haiwezi Kaa vyema.
Hapa Nimecheka sana 😂siku hizi wananiulizia niko nchi gani wao wakiwa huko sijui Geita
jamaa kasema ukweli lknWewe umeandika ili kujisifu kupiga A au kumponda Charismatic Fella Popoma Genta? Wewe uwezo wako wa kiakili ni mdogo mno ndo maana unamuonea wivu mtu usiyemjua. Halafu humu JF wote tulipiga One form 4 na 6 kombi za PCM na PCB.
mimi nimefikisha ujumbe ndugu yangu, maana huyo jamaa anatishia watu mara watawapiga sijui risasi as yeye ni special sana😀jamaa kasema ukweli lkn
ndiyo type ya huyo jamaa, tunamwangalia tuAisee umenikumbusha mbali kulikuwa na kenge hazinipendi kisa na mkasa wao hawakosi hata siku moja shule alafu muhuni nilikua wiki nahuzuria siku tatu tu lakini kwenye paper nawakalisha
wahuni ni kuishi nao kihuniHapa Nimecheka sana 😂
brother usigeneralize ndugu yangu, hizoUko sahihi kabisa mkuu... halafu kwa nchi kama yetu kusoma mavitu magumu haiku-guarantee maisha safi... watu wengi wenye maisha soft walijisomea zao kombi za arts na biashara sasa hivi wanakula mema.
sasa kama Popoma anatishia watu kwanini asiambiwe ukweli ili asijione special sana
hapa tunaongelea vipaji si bahati brother, kua poleNi kweli shule inasaidia sana katika maendeleo binafsi ya maisha.
Ila pia tusidharau mtu maana imeandikwa
Muhubiri 9:11
"Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote."
Kufeli shule sio Kwamba ndio umefeli maisha. Na kupata As sio kwamba ndio umepata guarantee ya kufanikiwa maisha.
Mfano Mdogo wangu anayenifuata amereset mitihan wa Necta mara 2.
Ndio Akafanikiwa kupata credit ya form 5.
Inashort hakuwah chaguliwa shule za serikali hata O Level (kupata A kwake ni mbinde).
Ila sasahiv yuko Dodoma Ikulu Chamwino. Analipwa mara 2 zaid yangu ambae sikuwah kufeli hata darasa moja. Na benefits za kutosha.
(Hayuko jf hawez ona hii akanijua)
Fimbo yangu lazima imzuzue yeyote imwingiaye 😂.Kiukweli naona hadi amechanganyikiwa kiasi kwamba kila mtu anayemuona anafikiri ni wewe.
Vema mzee endelea kuweka heshima mjini mazee.Fimbo yangu lazima imzuzue yeyote imwingiaye
Heshima ni muhimu na usipoipewa kwa hiari huna budi kuichukua kwa nguvu.Vema mzee endelea kuweka heshima mjini mazee.
Kabisa naunga mkia hili jambo.Heshima ni muhimu na usipoipewa kwa hiari huna budi kuichukua kwa nguvu.