Huyu Gentamycine ni wale jamaa tulikua tunawakimbiza class halafu hawataki kukubali

Nakubaliana na wewe, Gentamycine hana akili kabisa, ana IQ ndogo sana
Ila naomba tu nikuulize, kwani kuna ubaya gani kuishi Geita, maana nimeona umeandika as if kuishi Geita ni kitu kibaya hivi 🤔
 
Nakubaliana na wewe, Gentamycine hana akili kabisa, ana IQ ndogo sana
Ila naomba tu nikuulize, kwani kuna ubaya gani kuishi Geita, maana nimeona umeandika as if kuishi Geita ni kitu kibaya hivi 🤔
hakuna ubaya mkuu, ni mfano tu kaka mkubwa😀
 
It’s extremely rare kukuta kipanga anajitangaza kuwa yeye ni kipanga.

BTW, kuna tofauti kubwa kati ya kua na kuwa!
 
It’s extremely rare kukuta kipanga anajitangaza kuwa yeye ni kipanga.

BTW, kuna tofauti kubwa kati ya kua na kuwa!
Bwana mkubwa hayo mambo ni ya kawaida, unataka nani anisemee, hizo corrections zako pia ni minor sana, haziathiri lengo la uzi,

by the way lengo ilikua kumuonesha popoma kua asitishie watu maisha sababu ya kujiona knowledgeable sana, dunia ina watu wa kila aina
 
Kwamba unakula kodi za wajinga kilaini
mkuu sina maana mbaya, ni vile tu mimi mtu akiongelea kuhusu kutoa uhai wa mtu yeyote, namtreat tofauti kabisa, hata kama mtu huyo amefanya jambo gani baya, uhai hua ni wa Mwenyezi Mungu,

pole kama umekwazika brother
 
Japo hicho kiumbe na cha ******* lakini na wewe umejipromote mno thus wote wewe na yeye ni vilaza
 
Reactions: Okk
kumkimbiza mtu unatakiwa uwe na akili sharp ya maisha, kwa kifupi uwe na hela, sasa umeishia kua boda boda unategemea n
 
kwa hiyo kaka umeamua unitangaze humu jukwaani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…