Huyu Gentamycine wa JF ni nani haswa?

Unajiliza sana mara ooh mods wanichikulie hatua kama nadanganya sijui nini na nini ....

Kwahiyo ulitaka nijilize kwa Mama yako au? Hujui Kazi na Majukumu ya Moderators hasa katika ' tuhuma ' ambazo hazina miguu wala kichwa zinazoelekezwa kwa Members humu? Sitaki nikudharau tafadhali japo tayari nimeshaanza kukudharau japo si kwa Kiwango ninachokikusudia.
 
[emoji15]

Mkuu nasubiri bado tafsiri yako ya yale maneno ya Kimalkia na Kiliberali uliyoniandikia ili nami niweze kuelewa umeandika nini kwani sikubahatika Kusoma na Kuelemika kama mwenzangu Wewe.
 
Siku hizi JF watu wameamua kujipigia promo.

Embu weka picha ya huyo mtu tumuone kwanza halafu weka na link alizoandika zenye hoja motomoto tuzione.

Isije kuwa mnakuja na ID mpya.
Angalia [emoji116][emoji116][emoji116] then itumie akili ako.




 
Wa nini sasa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…