GE2025 Huyu Gerson Msigwa anapambana Sana, jamaa anajituma mno kwenye mazingira magumu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Baada ya kuenea video mbalimbali kwenye Mitandao zikionyesha mashabiki wa Simba walivyokula buyu hawataki salamu, msigwa akaona apost Instagram akileta utetezi kua watu wanazusha tuu salamu iliitikiwa Kwa shangwe kubwa!

Screenshot_20250910_232708_Instagram.jpg

Comment zilizoporomoshwa hapo zimekua za kumpinga tuu wananchi wakidai hizo shangwe ni pale aliposema Simbaaa nguvu mojaaaa, Raia wakataka apost kipande alichokua anahamasisha watu wampigie queen Elizabeth kelele kama wanamkubali.

Baada ya dakika 20 jamaa maji yamezid unga ameona azime comment! Gerson Msigwa

Kaingia mitini
Huyu jamaa kazi Yake ngumu sanaaa
 
Baada ya kuenea video mbalimbali kwenye Mitandao zikionyesha mashabiki wa Simba walivyokula buyu hawataki salamu, msigwa akaona apost Instagram akileta utetezi kua watu wanazusha tuu salamu iliitikiwa Kwa shangwe kubwa!

View attachment 3469324

Comment zilizoporomoshwa hapo zimekua za kumpinga tuu wananchi wakidai hizo shangwe ni pale aliposema Simbaaa nguvu mojaaaa, Raia wakataka apost kipande alichokua anahamasisha watu wampigie queen Elizabeth kelele kama wanamkubali.

Baada ya dakika 20 jamaa maji yamezid unga ameona azime comment!

Kaingia mitini
Huyu jamaa kazi Yake ngumu sanaaa
Anajituma au kutumiwa na kutetea njaa yake?
 
Au una maana anajipambania sana ali mradi mkono uende kinywani?
 
Kilichowaumiza Simba ni lile swala kutumika siasa kulazimishwa kucheza darby wakati yeye ndio baba na mfalme wa soko Tanzania,Afrika mashariki na kati.
Pia Simba ni watu wenye IQ kubwa

Anatakiwa kiongozi wakutumia akili kubwa sana kwenye kutatua migogoro kati Simba na timu yeyeyote.
 
Back
Top Bottom