GE2025 Huyu Gerson Msigwa anapambana Sana, jamaa anajituma mno kwenye mazingira magumu

GE2025 Huyu Gerson Msigwa anapambana Sana, jamaa anajituma mno kwenye mazingira magumu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ni ngumu sana kunadi kitu kisicho na mvuto kwa muktadha huo.

Utaambulia kupuuzwa .
 
Time will come unaongea, watu Wana zomeaa, halaf nasikia Kuna mashabiki wa simba wamepata ajali nakufariki wakirudi mikoani kutoka simba day, ni tetesi


Fullstop, kwishaa.
 
Time will come unaongea, watu Wana zomeaa, halaf nasikia Kuna mashabiki wa simba wamepata ajali nakufariki wakirudi mikoani kutoka simba day, ni tetesi


Fullstop, kwishaa.
NI kweli wamepata ajali
 
Maaamaa! Maaamaa! Maaaama!
 

Attachments

  • SnapInsta.to_AQP5YhUwqsncez5XNQhrJ911NaNkLfMHr2WQxt2e5KHumiMth_7ngRVnObJUwuY6-dF2mH-ByACSgrjHO...mp4
    20.6 MB
Back
Top Bottom