GE2025 Huyu Gerson Msigwa anapambana Sana, jamaa anajituma mno kwenye mazingira magumu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Baada ya kuenea video mbalimbali kwenye Mitandao zikionyesha mashabiki wa Simba walivyokula buyu hawataki salamu, msigwa akaona apost Instagram akileta utetezi kua watu wanazusha tuu salamu iliitikiwa Kwa shangwe kubwa!

View attachment 3469324

Comment zilizoporomoshwa hapo zimekua za kumpinga tuu wananchi wakidai hizo shangwe ni pale aliposema Simbaaa nguvu mojaaaa, Raia wakataka apost kipande alichokua anahamasisha watu wampigie queen Elizabeth kelele kama wanamkubali.

Baada ya dakika 20 jamaa maji yamezid unga ameona azime comment!

Kaingia mitini
Huyu jamaa kazi Yake ngumu sanaaa
lazima apambanie mzee si ndo kbarua chake anapgania bos wake si analipwa mzee ingekua bure angefanya
 
Baada ya kuenea video mbalimbali kwenye Mitandao zikionyesha mashabiki wa Simba walivyokula buyu hawataki salamu, msigwa akaona apost Instagram akileta utetezi kua watu wanazusha tuu salamu iliitikiwa Kwa shangwe kubwa!

View attachment 3469324

Comment zilizoporomoshwa hapo zimekua za kumpinga tuu wananchi wakidai hizo shangwe ni pale aliposema Simbaaa nguvu mojaaaa, Raia wakataka apost kipande alichokua anahamasisha watu wampigie queen Elizabeth kelele kama wanamkubali.

Baada ya dakika 20 jamaa maji yamezid unga ameona azime comment! Gerson Msigwa

Kaingia mitini
Huyu jamaa kazi Yake ngumu sanaaa

View: https://x.com/Sativa255/status/1965781843506315705?t=Ml03C3o8daZGrSCIsKTbVw&s=19
 
Back
Top Bottom