GE2025 Huyu Gerson Msigwa anapambana Sana, jamaa anajituma mno kwenye mazingira magumu

GE2025 Huyu Gerson Msigwa anapambana Sana, jamaa anajituma mno kwenye mazingira magumu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tarehe 16 usikimbie humu kama kawaida yako 😂 😁 😃 😃
Huwa sishabikii simba ligi ya ndani hata wakichukua ubingwa kama walivyo kuwa wanafanya huko nyuma hutoniona ,mpira wa siasa ni wa kijnga sana .
 
Shughuli haikuwa ya kwake! Hakuwa sehemu ya utambulisho! Ila akapambana mpaka akachukua mic na kutaka kuwaaminisha watu eti kuna kitu bado hawajakipata!
Mwisho wa siku ameishia tu kuaibika, na pia kumuaibisha mlengwa!

NB: Na siku ya Mwananchi akileta hizi porojo zake, ajiandae kuumbuka kwa mara nyingine tena. Siyo poa kulazimisha kupendwa. Akumbuke tu Watanzania wa leo siyo wale wa jana!
 
Baada ya kuenea video mbalimbali kwenye Mitandao zikionyesha mashabiki wa Simba walivyokula buyu hawataki salamu, msigwa akaona apost Instagram akileta utetezi kua watu wanazusha tuu salamu iliitikiwa Kwa shangwe kubwa!

View attachment 3469324

Comment zilizoporomoshwa hapo zimekua za kumpinga tuu wananchi wakidai hizo shangwe ni pale aliposema Simbaaa nguvu mojaaaa, Raia wakataka apost kipande alichokua anahamasisha watu wampigie queen Elizabeth kelele kama wanamkubali.

Baada ya dakika 20 jamaa maji yamezid unga ameona azime comment! Gerson Msigwa

Kaingia mitini
Huyu jamaa kazi Yake ngumu sanaaa

HomeBoy anapambana sana.
 
Back
Top Bottom