comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Anajituma au kutumiwa na kutetea njaa yake?Baada ya kuenea video mbalimbali kwenye Mitandao zikionyesha mashabiki wa Simba walivyokula buyu hawataki salamu, msigwa akaona apost Instagram akileta utetezi kua watu wanazusha tuu salamu iliitikiwa Kwa shangwe kubwa!
View attachment 3469324
Comment zilizoporomoshwa hapo zimekua za kumpinga tuu wananchi wakidai hizo shangwe ni pale aliposema Simbaaa nguvu mojaaaa, Raia wakataka apost kipande alichokua anahamasisha watu wampigie queen Elizabeth kelele kama wanamkubali.
Baada ya dakika 20 jamaa maji yamezid unga ameona azime comment!
Kaingia mitini
Huyu jamaa kazi Yake ngumu sanaaa
Duh! Jamaa atafute nayeye taskforce ya huko Instagram mambo yanamuelemeaMsigwa anipe Kaz ya kudili na vijana wa Instagram asile posho pekee yake kazi nzito mzgo unaweza usifike
Jamaa linaforce mazingira lenyewe linaona Hali halisiHuyo ni ChawaWaMama na miongoni mwa wapumbavu maarufu
Baada ya kuenea video mbalimbali kwenye Mitandao zikionyesha mashabiki wa Simba walivyokula buyu hawataki salamu, msigwa akaona apost Instagram akileta utetezi kua watu wanazusha tuu salamu iliitikiwa Kwa shangwe kubwa!
View attachment 3469324
Comment zilizoporomoshwa hapo zimekua za kumpinga tuu wananchi wakidai hizo shangwe ni pale aliposema Simbaaa nguvu mojaaaa, Raia wakataka apost kipande alichokua anahamasisha watu wampigie queen Elizabeth kelele kama wanamkubali.
Baada ya dakika 20 jamaa maji yamezid unga ameona azime comment!
Kaingia mitini
Huyu jamaa kazi Yake ngumu sanaaa
Ndio, jamaa linapambana na uhalisia ambao hawataki kuuonaAu una maana anajipambania sana ali mradi mkono uende kinywani?
Kwakwl nasisi tupate chochote atoe ganji asiendekeze tamaaDuh! Jamaa atafute nayeye taskforce ya huko Instagram mambo yanamuelemea
Shida anataka ale mwenyewe 😁Kwakwl nasisi tupate chochote atoe ganji asiendekeze tamaa
Ndo hvo anajidhalilisha mwenyw piaShida anataka ale mwenyewe 😁
Kafeli sanaKafeli sana adi yeye mwenyewe anajicheka
Ndio, jamaa linapambana na uhalisia ambao hawataki kuuona