Gabbar_singh
Senior Member
- Jan 5, 2019
- 192
- 270
lazima apambanie mzee si ndo kbarua chake anapgania bos wake si analipwa mzee ingekua bure angefanyaBaada ya kuenea video mbalimbali kwenye Mitandao zikionyesha mashabiki wa Simba walivyokula buyu hawataki salamu, msigwa akaona apost Instagram akileta utetezi kua watu wanazusha tuu salamu iliitikiwa Kwa shangwe kubwa!
View attachment 3469324
Comment zilizoporomoshwa hapo zimekua za kumpinga tuu wananchi wakidai hizo shangwe ni pale aliposema Simbaaa nguvu mojaaaa, Raia wakataka apost kipande alichokua anahamasisha watu wampigie queen Elizabeth kelele kama wanamkubali.
Baada ya dakika 20 jamaa maji yamezid unga ameona azime comment!
Kaingia mitini
Huyu jamaa kazi Yake ngumu sanaaa
Hatimaye wabena wamepatwaπ€£π€£πHuyu Mbena kazi anayo safarii hii, sio kwa uchawa huu, Lol.
Eti Mpumbavu maarufuHuyo ni ChawaWaMama na miongoni mwa wapumbavu maarufu
Baada ya kuenea video mbalimbali kwenye Mitandao zikionyesha mashabiki wa Simba walivyokula buyu hawataki salamu, msigwa akaona apost Instagram akileta utetezi kua watu wanazusha tuu salamu iliitikiwa Kwa shangwe kubwa!
View attachment 3469324
Comment zilizoporomoshwa hapo zimekua za kumpinga tuu wananchi wakidai hizo shangwe ni pale aliposema Simbaaa nguvu mojaaaa, Raia wakataka apost kipande alichokua anahamasisha watu wampigie queen Elizabeth kelele kama wanamkubali.
Baada ya dakika 20 jamaa maji yamezid unga ameona azime comment! Gerson Msigwa
Kaingia mitini
Huyu jamaa kazi Yake ngumu sanaaa
Kwa kweli, ππππHatimaye wabena wamepatwaπ€£π€£π
Asee hii simba kama wakula buyu ndio nimezidi kuwapenda π€£Jamaa kapata aibu sana Leo mbele ya kadamnasi πππ
Huko wanazo DNA za kijani lazima walipuke kwa shangweAkajaribu na kwa yanga huenda huko atashangiliwa
ππππTarehe 16 nikupige ngapi masta Cc ephen_Asee hii simba kama wakula buyu ndio nimezidi kuwapenda π€£