Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Astaghafirullah nasemea ya uwanjani kwenye boli sio Yale ya haramu sema Hawa kwa mpira wa jana naziona bao 5 tarehe 16 wallah 😎Mpige kigoli kimoja tu!
Siunajua goli 1 nalo linatia mimba
Ndio umeongea kitu gani hiki🚮🚮Mpige kigoli kimoja tu!
Siunajua goli 1 nalo linatia mimba
Andy boyeli anakusubiria mkuu 😃 Cc ephen_Hizo ligi za mchangani huto nipata kwenye ushabiki master
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮Ndio umeongea kitu gani hiki🚮🚮
ephen_ anapenda sana mambo pendwa 😀 😀Ndio umeongea kitu gani hiki🚮🚮
Umemuona fei jana yule Basel kanichekesha Sana😃😀🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
Ok🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
Tarehe 16 usikimbie humu kama kawaida yako 😂 😁 😃 😃
Sija tazama mpiraUmemuona fei jana yule Basel kanichekesha Sana😃😀
Huo sio mpira bwashee wangu 😃Sija tazama mpira
Huwa sishabikii simba ligi ya ndani hata wakichukua ubingwa kama walivyo kuwa wanafanya huko nyuma hutoniona ,mpira wa siasa ni wa kijnga sana .Tarehe 16 usikimbie humu kama kawaida yako 😂 😁 😃 😃
OkHuo sio mpira bwashee wangu 😃
Tarehe 16 timu utaleta?
Nishakuambia hayo sio mazingatio yangu ,sioni haja ya kulazimisha.Tarehe 16 timu utaleta?
😃😃😃Nishakuambia hayo sio mazingatio yangu ,sioni haja ya kulazimisha.
Baada ya kuenea video mbalimbali kwenye Mitandao zikionyesha mashabiki wa Simba walivyokula buyu hawataki salamu, msigwa akaona apost Instagram akileta utetezi kua watu wanazusha tuu salamu iliitikiwa Kwa shangwe kubwa!
View attachment 3469324
Comment zilizoporomoshwa hapo zimekua za kumpinga tuu wananchi wakidai hizo shangwe ni pale aliposema Simbaaa nguvu mojaaaa, Raia wakataka apost kipande alichokua anahamasisha watu wampigie queen Elizabeth kelele kama wanamkubali.
Baada ya dakika 20 jamaa maji yamezid unga ameona azime comment! Gerson Msigwa
Kaingia mitini
Huyu jamaa kazi Yake ngumu sanaaa