Huyu hapa Mgonjwa wa kwanza kuwekewa Figo ya Nguruwe

๐Ÿทkajamaa kametulia na sura yake ya kitoto ila shughuli yake ni jikoni mpaka chumba cha oparesheni ๐Ÿท๐Ÿท๐Ÿท๐Ÿท๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Huyu mnyama anapigwa Vita Sana huko saud Arabia ila amekuwa na moyo wa kipee kwani hivi karibuni huko marekani amepandikizwa mtu Figo ya nguruwe baada ya Figo ya awali ya binadamu kufeli ndipo madaktari wakapandikiza Figo ya nguruwe na Sasa mgonjwa amepona na anaendele vzr tu

Natoa Rai kwa serekali yetu ya mama Samia kuwa na recordi za mnyama huyu interm of idada Yao kwa kila mkoa na ielekeze bajeti kubwa kukabiliana na magonjwa yanayo kabili sector hyo muhimu

Huyu mnyama amekuwa akizengenywa sana Na kuzingiziwa magonjwa mengi Lkn bado anadunda na kunennepa


Kwa taarifa nilizo nazo Ni kuwa watu laki 100,000 wanamatatizo ya Figo nchi marekani wanasubiri upandikizaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ