Huyu hapa ndiye Paul Christian Makonda mwamba wa Kaskazini

Hivi mtu anajisikiaje kila akishika kalamu ni kusifia wanaume wenzake tu? Don't you have dignity?
 
Kimbelembele sitabia ya kiume.... Ni yawale wa kuolewa!!
Kama unampenda sana bandika picha yake ndani kwako na kitandani kwako umsujudie Kila saa hapa tunajadili mambo ya kitaifa sio mahaba binafsi mxyuu!
 
Unaumia ukiwa wapi huko kusiko na vidonge vya kutuliza maumivu?
 
Warudi kwao hawa machawa. Kaskazini hatuna watu wa type hii. Hawa ni watu wa kusini na Makonda msukuma atuachie kaskazini yetu hatunaga washamba shamba hivi.
 
Kwa sasa Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Ameifanya kaskazini kuwa na utulivu na kufikiria habari za maendeleo tu wakati wote.
 
Nape hana hamu naye makonda alitaka to make him go meet his maker sooner than expected.

Mwamba toka karudi issue za abduction na enforced disappearance with a trace zimekuwa nyingi. Yawezekana yeye ndio baba wa phylosophy hiyo.
 
Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda ni mtu safi mwenye mikono safi .ni mtu mwenye huruma, upendo, unyenyekevu na utu mkubwa sana.ndio maana ni kawaida sana kumuona akisaidia wajane ,yatima,wazee wasio jiweza na watu mbalimbali wenye shida na matatizo mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…