Huyu hapa ndiye Paul Christian Makonda mwamba wa Kaskazini

Ila ujue ana mke huyo siyo unajilengesha lengesha ukitegemea kupata ndoa hapo.
 
Warudi kwao hawa machawa. Kaskazini hatuna watu wa type hii. Hawa ni watu wa kusini na Makonda msukuma atuachie kaskazini yetu hatunaga washamba shamba hivi.
Wewe huna hadhi ya kumwita Makonda mshamba maana anakuzidi wewe na ukoo wako wote!
Makonda anamiliki Ardhi kubwa kuliko wewe Arusha!
Kuwa mpole mara nyingi mnaongozwa na chuki za Kikabila zilizopitwa na Wakati unasema Kaskazini yetu wewe una nini huko kaskazini?
Makonda sio level zako na huyo Lema wako na wewe anawalisha mwaka mzima!
 
Huo ugonjwa wala sio kisingizio kila mtu dunia nzima alikuwa anabahatisha tu!
China walifanya upuliziaji kama alosema Makonda!
Makonda still the Best Leader kuliko unavyotaka kutuaminisha hapa!
Umenena ukweli kabisa .wengine wanaongozwa na chuki binafsi tu za kijinga jinga tu.
 
Jinga sn labda kaskazini ya nyumbani kwenu, sisi hatuwezi kuwa na mwamba kilaza, katili, mwizi na chizi kama huyo
Huyo ndio anatambulika na wana kaskazini kama Mwamba wa Ukanda huo. Si unaona namna lema na wenzake walivyonywea na kutulia kwa sasa? Sauti ni moja tu kasikazini ambayo ni ya Mwamba Makonda
 
kwa sasa chadema hawana lakuwashawishi watanzania, hii wiki nimekua moshi wanapojinasibu kuwa moja ya ngome zao wallah wajitadhimini heko wana moshi kwa kiamini chama cha mapinduzi na kukipa jimbo
 
kwa sasa chadema hawana lakuwashawishi watanzania, hii wiki nimekua moshi wanapojinasibu kuwa moja ya ngome zao wallah wajitadhimini heko wana moshi kwa kiamini chama cha mapinduzi na kukipa jimbo
Hakuna mwenye akili Timamu na anayejitambua anayeweza waamini na kuwaunga mkono CHADEMA.hao ni madalali wa siasa na wachumia tumbo tu.
 
Hakuna mwenye akili Timamu na anayejitambua anayeweza waamini na kuwaunga mkono CHADEMA.hao ni madalali wa siasa na wachumia tumbo tu.
WOte hata Ccm ila aisee nawaogopa sana CHADEMA SIO utani eti naombaga Mungu wasishike uongozi tutavurugwa hadi tuwe ombaomba au vitani bora hata wazalendo sijui act wazalendo . Chadema wanageukana wenyewe kwa wenyewe utazania madalali wa ukoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…