Huyu Hapa Ndiye Waziri Mkuu Mpya Atakayeteuliwa Na Rais Samia

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Najua wengi wenu mnajiuliza maswali juu ya nani atakuwa waziri Mkuu Mpya wa Tanzania. Najua mna kiu kubwa sana kutokana na umuhimu na unyeti wa nafasi hiyo kiutendaji na kiutawala ndani ya serikali yoyote ile Duniani.

Kwanza ifahamike ya Kuwa waziri Mkuu kikatiba anateuliwa kutoka miongoni kwa Wabunge waliochaguliwa moja kwa moja na Wananchi kutoka majimboni na siyo wale wabunge wa kuteuliwa na Rais katika zile nafasi kumi alizopewa Rais kikatiba. Yaani kwa Ufupi ni kuwa Rais hawezi kumteua mtu Ubunge halafu akamteua Uwaziri mkuu. Ila anaweza kumteua mtu Ubunge na kumteua kuwa waziri wa wizara yoyote ile atakayo.

Hivyo Basi ni lazima mfahamu ya kuwa Taifa letu linakwenda kupata waziri Mkuu mpya kutoka kwa wale waliopata bahati ya kuingia Bungeni. Na ifahamike ya kuwa huyo waziri Mkuu mpya ni lazima atakuwa ni mpya kwa kuwa aliyepo sasa hakugombea ubunge na hayupo na hatakuwepo Bungeni na hivyo anapoteza sifa ya kuteuliwa kuwa waziri Mkuu hata ikitokea Rais akamteua Ubunge.

Ifahamike ya kuwa waziri Mkuu ndiye mtendaji na msimamizi mkuu wa shughuli za serikali za kila siku iendayo kwa Mwenyezi Mungu na ndiye kiongozi wa shughuli za serikali ndani ya Bunge letu Tukufu.

Sasa sikiliza. Ni kuwa waziri Mkuu kisifa na atakaye teuliwa na Rais wetu Mpendwa atakuwa mtu ambaye kwanza Amenyooka kama rula kimaadili . Mtu ambaye hana makando kando ya aina yoyote ile juu ya uadilifu wake kihistoria. Mtu ambaye ana uwezo wa kusimama popote pale na kuwafokea na kukemea ufisadi ,rushwa na ubadhirifu wa mali za umma kwa kuwa hana madoa wala nafsi yake hamsuti kwa uchafu wa aina yoyote ile.

Ni lazima awe mtu ambaye akijiangalia kwenye kioo ajione kama alivyo pasipo uchafu wa aina yoyote ile. Kusudi awe na uwezo ,nguvu ,ujasiri wa kuweza kuwasimamia ipasavyo watumishi na viongozi wote walio chini yake bila wasiwasi au hofu ya kuibuliwa kwa mabaya yake. Lakini kama yeye mwenyewe ni mchafu na amejaa makando kando kuna sehemu au kundi fulani au watu fulani akifika na akakuta wamefanya kosa ataogopa kusema au kukemea jambo fulani kwa kuwa amewahi kushirikishwa au kushirikiana nao katika uchafu fulani au ubaya fulani au wizi fulani au Dhambi fulani. Hivyo kukwepa kujigusa inambidi awe mpole tu na kufunika kombe ili mwanaharamu aweze kupita.

Ndio Maana nikasema Wazuri Mkuu anapaswa kuwa Amenyooka na mwenye historia safi na njema kiutumishi au katika njia zake alizopita mpaka kufikia hapo alipo.

Anapaswa kuwa Mtu mtulivu na makini katika kufanya maamuzi na kutoa kauli zake mdomoni. Kwa sababu inakuwa ni aibu itakapotokea waziri Mkuu ametoa neno au kauli ambayo baadaye ikaonekana alidanganya au kupotoka au kupotosha kutokana na kukosa uelewa wa jambo fulani kisheria si kikatiba au kukosa taarifa sahihi. Yaani kwa ufupi ni kuwa asiwe mkurupukaji au mwenye mihemuko au mwenye kutafuta sifa kwa watu.

Ikumbukwe ya kuwa ikizoeleka au kuonekana kuwa waziri Mkuu anafanya maamuzi au kutoa matamko ambayo baadaye yanakuja kufutwa au kuondolewa na Rais kutokana pengine na ukiukwaji wa sheria au katiba itamshushia heshima na kutoaminika mbele ya umma. Hivyo waziri Mkuu anapaswa kuwa mtu anayefikiri kabla ya kuzungumza na siyo kufikiri baada ya kuzungumza. Anapaswa kuwa mtu mwenye kifua na mwenye uwezo wa kudhibiti hasira zake binafsi .

Anapaswa kuwa Mfuatiliaji wa maswala mbalimbali Nchini na namna pesa na maagizo ya serikali yanavyotekelezwa huko mikoani. Anapaswa kuwa Mfuatiliaji au kufuatilia ripoti mbalimbali na kuzifanyia kazi kwa ukaribu sana na kujiridhisha vyema sana kwa kila taarifa ifikayo kwake ili asije kupewa taarifa zisizo kamilika na kufanya uamuzi ambayo baadaye ukaleta matatizo kiutendaji .

Anapaswa kuwa mwenye hekima ,busara , mnyenyekevu na mwenye utii kwa Rais. Anapaswa kuwa mwenye kufanya kazi kwa ajili ya kumsaidia Na kumjenga Rais na siyo kujijenga yeye binafsi au kundi fulani la utaka Urais au lenye malengo ya kutengeneza au kujenga kambi ya kusaka Urais siku za mbeleni.

Awe mtu mwenye uwezo wa kuwaunganisha watu walio chini yake ,awe na uwezo wa kusuruhisha migogoro mbalimbali bila kuegemea upande au kumuonea mtu au upendeleo. Awe mtu mwenye kupenda umoja ndani ya serikali kuliko kuwa mfitini ,mchonganishi na mwenye kuwagawa viongozi waliochini yake. Awe mtu mwenye misimamo na asiye yumba. Awe na uzoefu wa kufanya kazi serikalini au kwenye kujua namna serikali inavyofanya kazi au awe mtu mwenye uwezo wa kujifunza kwa haraka na kubadilika kwa haraka kuendana na wakati na mazingira.

Nakuja kuendelea baadaye kidogo.
Screenshot_20251106-201249_1.jpg
Screenshot_20251106-201235_1.jpg
 
Nakuja kuendelea baadaye kidogo.View attachment 3498303View attachment 3498304
Yaani tujiulieze kuhusu hayo majizi ya kura?!
 
Attachments

  • 6ca194063178c0ee498d20b8e26dedee.mp4
    366.4 KB

20251102_170350.jpg
unatawala kwa kuuua watu.
 
DOTO BITEKO yupo humble sana na mfuatiliaji mzuri anaweza kufaa, zaidi ya hapo labda william Lukuvi japo umri umeenda sana , AKIPEWA MAKONDO CCM inakufa kabla ya 2030 atakigawa chama sana anachukiwa mno ila wanamchelea mdomoni tu, KIKAZI MAKONDA ANGEWEZA SANA KUWABANA WATU SERIKALI IKASONGA MBELE ILA ANACHUKIWA SANA KWA SABABU YA SIFA ZA KIJINGA
 
Siku waandamanaji wakikudaka inabd wakufi.ree hadi ufie mbali huna faida kwa taifa!
 
Waziri mkuu atatokea zanzibar kama mwanasheria mkuu.
Hata spika msipoanfalia atakua mpemba.
Halafu wakati wa kuapishwa utakuta kuna mijitu kutoka Shinyanga imekaa inakenua.
Sasa kila kona ni wazanzibar kuna wizara si za muungano lakini kuna wazanzibar kibao humo, kule Zanzibar hakuna watanganyika hata mmoja kwenye baraza la mapinduzi
 
Ndugu zangu Watanzania,

Najua wengi wenu mnajiuliza maswali juu ya nani atakuwa waziri Mkuu Mpya wa Tanzania. Najua mna kiu kubwa sana kutokana na umuhimu na unyeti wa nafasi hiyo kiutendaji na kiutawala ndani ya serikali yoyote ile Duniani.

Kwanza ifahamike ya Kuwa waziri Mkuu kikatiba anateuliwa kutoka miongoni kwa Wabunge waliochaguliwa moja kwa moja na Wananchi kutoka majimboni na siyo wale wabunge wa kuteuliwa na Rais katika zile nafasi kumi alizopewa Rais kikatiba. Yaani kwa Ufupi ni kuwa Rais hawezi kumteua mtu Ubunge halafu akamteua Uwaziri mkuu. Ila anaweza kumteua mtu Ubunge na kumteua kuwa waziri wa wizara yoyote ile atakayo.

Hivyo Basi ni lazima mfahamu ya kuwa Taifa letu linakwenda kupata waziri Mkuu mpya kutoka kwa wale waliopata bahati ya kuingia Bungeni. Na ifahamike ya kuwa huyo waziri Mkuu mpya ni lazima atakuwa ni mpya kwa kuwa aliyepo sasa hakugombea ubunge na hayupo na hatakuwepo Bungeni na hivyo anapoteza sifa ya kuteuliwa kuwa waziri Mkuu hata ikitokea Rais akamteua Ubunge.

Ifahamike ya kuwa waziri Mkuu ndiye mtendaji na msimamizi mkuu wa shughuli za serikali za kila siku iendayo kwa Mwenyezi Mungu na ndiye kiongozi wa shughuli za serikali ndani ya Bunge letu Tukufu.

Sasa sikiliza. Ni kuwa waziri Mkuu kisifa na atakaye teuliwa na Rais wetu Mpendwa atakuwa mtu ambaye kwanza Amenyooka kama rula kimaadili . Mtu ambaye hana makando kando ya aina yoyote ile juu ya uadilifu wake kihistoria. Mtu ambaye ana uwezo wa kusimama popote pale na kuwafokea na kukemea ufisadi ,rushwa na ubadhirifu wa mali za umma kwa kuwa hana madoa wala nafsi yake hamsuti kwa uchafu wa aina yoyote ile.

Ni lazima awe mtu ambaye akijiangalia kwenye kioo ajione kama alivyo pasipo uchafu wa aina yoyote ile. Kusudi awe na uwezo ,nguvu ,ujasiri wa kuweza kuwasimamia ipasavyo watumishi na viongozi wote walio chini yake bila wasiwasi au hofu ya kuibuliwa kwa mabaya yake. Lakini kama yeye mwenyewe ni mchafu na amejaa makando kando kuna sehemu au kundi fulani au watu fulani akifika na akakuta wamefanya kosa ataogopa kusema au kukemea jambo fulani kwa kuwa amewahi kushirikishwa au kushirikiana nao katika uchafu fulani au ubaya fulani au wizi fulani au Dhambi fulani. Hivyo kukwepa kujigusa inambidi awe mpole tu na kufunika kombe ili mwanaharamu aweze kupita.

Ndio Maana nikasema Wazuri Mkuu anapaswa kuwa Amenyooka na mwenye historia safi na njema kiutumishi au katika njia zake alizopita mpaka kufikia hapo alipo.

Anapaswa kuwa Mtu mtulivu na makini katika kufanya maamuzi na kutoa kauli zake mdomoni. Kwa sababu inakuwa ni aibu itakapotokea waziri Mkuu ametoa neno au kauli ambayo baadaye ikaonekana alidanganya au kupotoka au kupotosha kutokana na kukosa uelewa wa jambo fulani kisheria si kikatiba au kukosa taarifa sahihi. Yaani kwa ufupi ni kuwa asiwe mkurupukaji au mwenye mihemuko au mwenye kutafuta sifa kwa watu.

Ikumbukwe ya kuwa ikizoeleka au kuonekana kuwa waziri Mkuu anafanya maamuzi au kutoa matamko ambayo baadaye yanakuja kufutwa au kuondolewa na Rais kutokana pengine na ukiukwaji wa sheria au katiba itamshushia heshima na kutoaminika mbele ya umma. Hivyo waziri Mkuu anapaswa kuwa mtu anayefikiri kabla ya kuzungumza na siyo kufikiri baada ya kuzungumza. Anapaswa kuwa mtu mwenye kifua na mwenye uwezo wa kudhibiti hasira zake binafsi .

Anapaswa kuwa Mfuatiliaji wa maswala mbalimbali Nchini na namna pesa na maagizo ya serikali yanavyotekelezwa huko mikoani. Anapaswa kuwa Mfuatiliaji au kufuatilia ripoti mbalimbali na kuzifanyia kazi kwa ukaribu sana na kujiridhisha vyema sana kwa kila taarifa ifikayo kwake ili asije kupewa taarifa zisizo kamilika na kufanya uamuzi ambayo baadaye ukaleta matatizo kiutendaji .

Anapaswa kuwa mwenye hekima ,busara , mnyenyekevu na mwenye utii kwa Rais. Anapaswa kuwa mwenye kufanya kazi kwa ajili ya kumsaidia Na kumjenga Rais na siyo kujijenga yeye binafsi au kundi fulani la utaka Urais au lenye malengo ya kutengeneza au kujenga kambi ya kusaka Urais siku za mbeleni.

Awe mtu mwenye uwezo wa kuwaunganisha watu walio chini yake ,awe na uwezo wa kusuruhisha migogoro mbalimbali bila kuegemea upande au kumuonea mtu au upendeleo. Awe mtu mwenye kupenda umoja ndani ya serikali kuliko kuwa mfitini ,mchonganishi na mwenye kuwagawa viongozi waliochini yake. Awe mtu mwenye misimamo na asiye yumba. Awe na uzoefu wa kufanya kazi serikalini au kwenye kujua namna serikali inavyofanya kazi au awe mtu mwenye uwezo wa kujifunza kwa haraka na kubadilika kwa haraka kuendana na wakati na mazingira.

Nakuja kuendelea baadaye kidogo.View attachment 3498303View attachment 3498304
ACha kupotosha uma mtendaji mkuu wa serikali ni Mafele akisaidiwa na wenzie wengine ni geresha tu
 
Back
Top Bottom