Huyu Hapa Ndiye Waziri Mkuu Mpya Atakayeteuliwa Na Rais Samia

Urais haramu hata Baraza litakuwa haramu pia

Wewe mpumbavu huwezi kuelewa hilo
 
Rubbish and Idiot.
 
Waziri mkuu atatokea zanzibar kama mwanasheria mkuu.
Hata spika msipoanfalia atakua mpemba.
Halafu wakati wa kuapishwa utakuta kuna mijitu kutoka Shinyanga imekaa inakenua.
Waziri Mkuu hawezi kutoka Zanzibar kikatiba. Waziri Mkuu husimamia masuala yote yasiyo ya muungano kwa bara. Ikiwa atatoka Zanzibar itakuwa ni kuvunja katiba na ikitokea, tuhamie Burundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…