Huyu Hapa ndo aliyeokoa maisha ya Tundu Lissu pale Dodoma, sio Mbowe

Sasa mlitaka mbowe amchome sindano Lissu au ambebe mgongoni au amtolee damu au afanye nini ndiyo ionekana amemsaidia? Mbowe sio daktari na huyo Dk Mpoki ndiyo mtaalamu sasa mtoa mada ulitaka nafasi ya Dk Mpoki asimame Mbowe ambaye sio daktari?
Mbowe kuwepo na Lissu na kushiriki kuanzia dodoma hadi nairobi ndiyo mchango wake au mchango gani alihitajika kuutoa zaidi?
 
Walioshiriki ni wengi. Namna alivyoeleza mbowe ni maneno alipaswa kutoa mke wa lissu who was there day one .

Mbowe alishirikiana na watanzania wengine kutetea Afya ya Lissu
Hakuokoa maisha ya Lissu Kama alivyonena , Is that clear Boss ?

Alichofanya mbowe hata wa ungefanya kwa mtu wa alie jiran yako, ni sawa ?
 
Kwanini ushauri wa kupelekwa MNH au Nairobi alikuwa ni mmoja wapo wa walioulizwa? angeweza kusema hapana twende MNH.
Means na yeye alihusika sehemu kubwa sana kama ulivyosema angeenda MNH mambo yangekuwa worse, basi tuseme Ndugai na Mbowe walihusika sehemu kubwa sana na ndiyo kumuokoa kwenyewe huko maana ni kama go ahead ya kwenda Nairobi ilikuwa ndiyo pona yake na ni yeye na Ndugai ndiyo waliitoa.
 
Ila huyo mtu alikuwa na roho ngumu . He was definitely possessed
 
Unachotetea ni nini?
 
Kwani unachuki na Mbowe?
 
Aliyetoa ndege si yule tajiri wa Zenj ambaye amefariki sasa? Nimemsahau jina lake.
 
Shida ya Mbowe anataka kufanya bila yeye Lisu angefariki kitu ambacho si kweli. Ni kama anaonyesha amemuokoa Lisu ili aje agombee nafasi yake ama? Kwa maneno marahisi ni kama anajuta kwanini hakumuacha afe ili asije kumsumbua
Katika yote hiyo kwenye bold ink ni ushahidi wa wazi kabisa kuwa Freeman Mbowe hui - engineer mauaji ya kila atakaye uenyekiti wake ndani ya CHADEMA...!!

Mtu mwenye akili timamu anawezaje kutoa kauli hii?

Huyu Freeman Mbowe amemuuzia nani hekima na busara zake..????
 
Mbowe kugombea uenyekiti na Lissu ni kujikanyaga sana, wengi wamemchoka sijui haoni, ila ndiyo demokrasia wanayoitaka hii, watachafuana paka akili ziwakae sawa.
 
Mbo
Mbona humtaji yule mbunge wa Zanzibar marehemu Turki aliyelipia ndege?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…