Huyu Hapa ndo aliyeokoa maisha ya Tundu Lissu pale Dodoma, sio Mbowe

Mkuu vipi we utaki kua ulisubisya kwangu .
Hali ilivyo huu mwez sitoboi ntachkua maamuz magumu..
Fanya jambo mkuu tuluke Ottawa apo.
 
Msimsahau prophet Bushiri pia alitabiri miezi kadhaa nyuma kuwa kuna kiongozi wa upinzani Tanzania atauliwa, hivyo watu wamwombee, bila shata kuna walioomba na muujiza ukafanyika
 
Swala la Lissu, Mkuu wa Nchi hakuwa timely briefed
Hii sijui lilitokea kwa bahati mbaya au Tahadhari ilitolewa kwa sababu kwa Political key figure kam TAL una mtoaji nje ya Nchi Tena kwa usafiri wa Anga Bila Kumpa Briefing mkuu wa Nchi
Iliwa cost Walio approve
 
Lissu alipozinduka tu aliuliza nipo wapi? Mwenyekiti Mbowe huyo wapi...?

Aliposikia sauti ya Mbowe akasema, mwenyekiti nimepona ili nije kukwambie siri...(wosia)

Sasa tumwamini Lissu ama tukuamini wewe!!

Kwa nini alipozinduka hakutaja kumuona Msigwa, Lema au Heche?
 
Kwenye Medical Field , Briefing inakuja later
It was the right decision ever

Imagine kama leo TAL tusingekuwa nae……. I think tungekuwa na siasa za kuboa

Amin kaka , hakuna mfano wa TAL
 
Hii ndio hoja gani ndugu ?
 
Msimsahau prophet Bushiri pia alitabiri miezi kadhaa nyuma kuwa kuna kiongozi wa upinzani Tanzania atauliwa, hivyo watu wamwombee, bila shata kuna walioomba na muujiza ukafanyika
Sawa
 
Mkuu vipi we utaki kua ulisubisya kwangu .
Hali ilivyo huu mwez sitoboi ntachkua maamuz magumu..
Fanya jambo mkuu tuluke Ottawa apo.
Huku hakuna mambo ya watu weusi na tabia za kuharibiana. Huku kila mtu anatambua umuhimu wa mwingine
 
Mkuu, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege anahusika vipi katika utoaji wa vibali, fafanua maana hii ndo sekta yangu sheikh.
 
Acheni ujinga
Hata km huyo mbowe ana mampungufu yake huwezi kusema eti hakusaidia kwenye hili

Uchaguzi utapita, Kuna maisha baada ya uchaguzi
 
mbowe ambae anajiita TAJIRI hakuweza kuwa na dola elf 9 na mia 2 sawa na 18M tu za hapo hapo…..wala chama hakikuwa na 18M cash 🤣hadi mmbunge wa CCM aje kutoa garantee 🤣
Nimeshangaa hili jambo
 
Nimeshangaa hili jambo
Ogopa Utapeli

To my surprise, Kwenye AC ya Mbowe hakukuwa na 18M ??🥹?

Kwenye AC ya CHADEMA hapo hapo hakukuwa na 18M

Pesa zililipwa na wanaanchi

Wa tu walichangaa sanaaa kimya kimya

CHADEMA haijawahi kutangaza fedha za matibabu zilizochangwa zilifika kias gani ?
 
Nilikuwepo Airport siku hiyo na nilishuhudia kila kitu mpaka ndege inaondoka. Ilikuwa ni huzuni sana kumuangalia Lissu siku ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…