Huyu Hapa ndo aliyeokoa maisha ya Tundu Lissu pale Dodoma, sio Mbowe

Taarifa zilipofika Bungeni, chap watu wakawahi eneo la tukio kisha Hospital.

Kufika Hospital, Katibu Wizara ya Afya wa wakati huo , this great man , Dr. Ulisubisya , Daktari wa Kuua na Kufufua ( Anesthesiologist)akawahi kuingia Theater for bleeding management and major first aid akishirikiana na general physician waliokiwepo zamu.
-
Wadau wengine akiwemo mbowe , chadema na baadhi ya viongozi wa CCM akiwemo Ndungai wakabaki nje ya Hospital wakifacilitate communication ili Lissu awahishwe Muhimbili kwa ajili ya matibabu zaidi.

After few hours, Daktari wa Kuua na Kufufua, akatoka Theater na kwenda kwa wadau, Ulisubsya does not speak so much , ana sauti nzito kidogo na niliwahi kufanya nae kazi, na alikuwa ni mmoja wa waliosaini my docs nilipokuwa naondoka

Aliwauliza wadau WHAT NEXT ? Plan zmekaaje?

Mbowe na Ndungai wakajibu tumekubaliana awahishwe MNH.

Dr. Ulisubsya, ni mtu mwenye HESHIMA... akawaambia "vema lakini ninaomba kushauri; kwa hali niliyomkuta nayo LISSU na kwa technology inayotumika MNH kwa sasa, nashauri awahishwe NAIROBI ili baadae asogezwe nchi zenye advanced technology." akasisitiza "Ushauri huu ni wa kitaalam nashauri uzingatiwe"

Ndio chap chap simu zikaanza kutembea kupata vibali na ndege to Nairobi....aliyefacilitate zoezi zima la kupata ndege ni aliyekuwa mkurugenzi wa mamlaka ya viwanja vya ndege wa wakati ule.

Baadae ikaonekana Chadema haina Cash kiasi cha Dola 9200. Ikabidi Mbunge wa Zanzibar Turky atoe garantee kuwa endapo chadema wasipolipa hizo dola 9200 yeye atazilipa na kwakua pia Turky alikuwa na uhusiano mzuri na hilo shirika la ETG ….ndege ikaruka na baadae chadema inatoa AC wananchi na wadau wakaanza kuchanga.

Ndege iliyombeba tundu lissu ; View attachment 3197630
5H ETG Cessna 560

Wakati huo JPM anasubiri Lissu aletwe MNH na akaahidi serikali itagharamia matibabu yake; Job Ndungai anampa Taarifa JPM kuwa Lissu amepelekwa Nairobi,!

JPM akauliza why ? Job akamjibu

"Ulisubsya ameshauri hivyo na ndio alisimamia zoezi zima na ameonesha kuwa MNH inatumia technology ya zamani kwenye treatment"

Hii kitu ilimuudhi sanaJPM , akasema :

"bunge lisigharamie matibabu yake"

Chap akala kichwa
Cha Ulisubsya na kumwambia kwamba unasafiri snaa nje hata safari za kuwapa watendaji wako wa chini unaenda wewe.

akawa anatakiwa kwenda pale wizara ya mambo ya nje kunywa chai asubuh na kusoma magazeti bila ya kukosa kila siku.

Gharama za matibabu ya Lissu zilichangwa na wadau wengi akiwemo Samia Hassan, aliyekuwa makamu wa Rais wa kipindi kile.

Mbowe alishiriki kama walivyoshiriki viongozi wengine wa Chadema na CCM kwenye ku facilitate zoezi zima.Mbowe alishakuwa ameingia kwenye mtego wa kumpeleka Lissu MNH.

Kama sio Ulisubsya na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege wa wakati ule.....na baadh ya wadau akiwemo the Late Turky yule mmbunge wa Zanzibar ambae alisaidia kuwapa ETG garantee ya maneno juu ya dola 9200 kuwa atawalipa wao cash endapo chadema itachelewesha ; probably we would not have Lissu today .
Surprisingly; mbowe ambae anajiita TAJIRI hakuweza kuwa na dola elf 9 na mia 2 sawa na 18M tu za hapo hapo…..wala chama hakikuwa na 18M cash 🤣hadi mmbunge wa CCM aje kutoa garantee 🤣

Siwezi kusema Mbowe hakuwa na Mchango, bali mbowe alikuwa na mchango kama walivyokuwa na Mchango viongozi wengine wa Chadema na CCM . In truth , Maisha ya Lissu yaliokolewa na viongozi yaani government officers ambao walikuwa kwenye position kubwa ya kusaidia na sio Mbowe that is hard truth ...

.. Champion aliyetoa idea ya kitabibu akiwa Ulisubsya of which it costed him .... Champion akiwa yule mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya ndege , champion pia aiiwa the late Turky na baadhi ya wadau ambao hawakuwa tayari majina yao yatokee kwa kuhofia VITIMBI NA UKALI wa JPM; hawa ndio game changer .....and never Ulisubsya kuwahi kuzungumzia hili swala.....kama nilivyosema Jamaa haongei sana wala sio mtu wa Media kama Mwafulani. Anajua ethics za kazi zake and he is very much composed. Hata alivyotumbuliwa … hakuwahi ku comment anything . His mouth was always sealed🤐

kama ilivyo wana siasa Mbowe ndio akaanza kuonesha nimeokoa maisha ya Lissu. Big Liar and it is a shame kuona jamaa anaongea maneno kama hayo kuwa ameokoa maisha ya Lissu akisahau dunia ya sasa kila kitu kipo wazi.

Dr Megalodon
WHO Regional Office,
Rue 52, Ottawa
Canada

View attachment 3196694
View attachment 3196695
Mkuu vipi we utaki kua ulisubisya kwangu .
Hali ilivyo huu mwez sitoboi ntachkua maamuz magumu..
Fanya jambo mkuu tuluke Ottawa apo.
 
Msimsahau prophet Bushiri pia alitabiri miezi kadhaa nyuma kuwa kuna kiongozi wa upinzani Tanzania atauliwa, hivyo watu wamwombee, bila shata kuna walioomba na muujiza ukafanyika
 
Swala la Lissu, Mkuu wa Nchi hakuwa timely briefed
Hii sijui lilitokea kwa bahati mbaya au Tahadhari ilitolewa kwa sababu kwa Political key figure kam TAL una mtoaji nje ya Nchi Tena kwa usafiri wa Anga Bila Kumpa Briefing mkuu wa Nchi
Iliwa cost Walio approve
 
Lissu alipozinduka tu aliuliza nipo wapi? Mwenyekiti Mbowe huyo wapi...?

Aliposikia sauti ya Mbowe akasema, mwenyekiti nimepona ili nije kukwambie siri...(wosia)

Sasa tumwamini Lissu ama tukuamini wewe!!

Kwa nini alipozinduka hakutaja kumuona Msigwa, Lema au Heche?
 
Kwenye Medical Field , Briefing inakuja later
It was the right decision ever

Imagine kama leo TAL tusingekuwa nae……. I think tungekuwa na siasa za kuboa

Amin kaka , hakuna mfano wa TAL
 
Lissu alipozinduka tu aliuliza nipo wapi? Mwenyekiti Mbowe huyo wapi...?

Aliposikia sauti ya Mbowe akasema, mwenyekiti nimepona ili nije kukwambie siri...(wosia)

Sasa tumwamini Lissu ama tukuamini wewe!!

Kwa nini alipozinduka hakutaja kumuona Msigwa, Lema au Heche?
Hii ndio hoja gani ndugu ?
 
Msimsahau prophet Bushiri pia alitabiri miezi kadhaa nyuma kuwa kuna kiongozi wa upinzani Tanzania atauliwa, hivyo watu wamwombee, bila shata kuna walioomba na muujiza ukafanyika
Sawa
 
Mkuu vipi we utaki kua ulisubisya kwangu .
Hali ilivyo huu mwez sitoboi ntachkua maamuz magumu..
Fanya jambo mkuu tuluke Ottawa apo.
Huku hakuna mambo ya watu weusi na tabia za kuharibiana. Huku kila mtu anatambua umuhimu wa mwingine
 
Taarifa zilipofika Bungeni, chap watu wakawahi eneo la tukio kisha Hospital.

Kufika Hospital, Katibu Wizara ya Afya wa wakati huo , this great man , Dr. Ulisubisya , Daktari wa Kuua na Kufufua ( Anesthesiologist)akawahi kuingia Theater for bleeding management and major first aid akishirikiana na general physician waliokiwepo zamu.
-
Wadau wengine akiwemo mbowe , chadema na baadhi ya viongozi wa CCM akiwemo Ndungai wakabaki nje ya Hospital wakifacilitate communication ili Lissu awahishwe Muhimbili kwa ajili ya matibabu zaidi.

After few hours, Daktari wa Kuua na Kufufua, akatoka Theater na kwenda kwa wadau, Ulisubsya does not speak so much , ana sauti nzito kidogo na niliwahi kufanya nae kazi, na alikuwa ni mmoja wa waliosaini my docs nilipokuwa naondoka

Aliwauliza wadau WHAT NEXT ? Plan zmekaaje?

Mbowe na Ndungai wakajibu tumekubaliana awahishwe MNH.

Dr. Ulisubsya, ni mtu mwenye HESHIMA... akawaambia "vema lakini ninaomba kushauri; kwa hali niliyomkuta nayo LISSU na kwa technology inayotumika MNH kwa sasa, nashauri awahishwe NAIROBI ili baadae asogezwe nchi zenye advanced technology." akasisitiza "Ushauri huu ni wa kitaalam nashauri uzingatiwe"

Ndio chap chap simu zikaanza kutembea kupata vibali na ndege to Nairobi....aliyefacilitate zoezi zima la kupata ndege ni aliyekuwa mkurugenzi wa mamlaka ya viwanja vya ndege wa wakati ule.

Baadae ikaonekana Chadema haina Cash kiasi cha Dola 9200. Ikabidi Mbunge wa Zanzibar Turky atoe garantee kuwa endapo chadema wasipolipa hizo dola 9200 yeye atazilipa na kwakua pia Turky alikuwa na uhusiano mzuri na hilo shirika la ETG ….ndege ikaruka na baadae chadema inatoa AC wananchi na wadau wakaanza kuchanga.

Ndege iliyombeba tundu lissu ; View attachment 3197630
5H ETG Cessna 560

Wakati huo JPM anasubiri Lissu aletwe MNH na akaahidi serikali itagharamia matibabu yake; Job Ndungai anampa Taarifa JPM kuwa Lissu amepelekwa Nairobi,!

JPM akauliza why ? Job akamjibu

"Ulisubsya ameshauri hivyo na ndio alisimamia zoezi zima na ameonesha kuwa MNH inatumia technology ya zamani kwenye treatment"

Hii kitu ilimuudhi sanaJPM , akasema :

"bunge lisigharamie matibabu yake"

Chap akala kichwa
Cha Ulisubsya na kumwambia kwamba unasafiri snaa nje hata safari za kuwapa watendaji wako wa chini unaenda wewe.

akawa anatakiwa kwenda pale wizara ya mambo ya nje kunywa chai asubuh na kusoma magazeti bila ya kukosa kila siku.

Gharama za matibabu ya Lissu zilichangwa na wadau wengi akiwemo Samia Hassan, aliyekuwa makamu wa Rais wa kipindi kile.

Mbowe alishiriki kama walivyoshiriki viongozi wengine wa Chadema na CCM kwenye ku facilitate zoezi zima.Mbowe alishakuwa ameingia kwenye mtego wa kumpeleka Lissu MNH.

Kama sio Ulisubsya na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege wa wakati ule.....na baadh ya wadau akiwemo the Late Turky yule mmbunge wa Zanzibar ambae alisaidia kuwapa ETG garantee ya maneno juu ya dola 9200 kuwa atawalipa wao cash endapo chadema itachelewesha ; probably we would not have Lissu today .
Surprisingly; mbowe ambae anajiita TAJIRI hakuweza kuwa na dola elf 9 na mia 2 sawa na 18M tu za hapo hapo…..wala chama hakikuwa na 18M cash 🤣hadi mmbunge wa CCM aje kutoa garantee 🤣

Siwezi kusema Mbowe hakuwa na Mchango, bali mbowe alikuwa na mchango kama walivyokuwa na Mchango viongozi wengine wa Chadema na CCM . In truth , Maisha ya Lissu yaliokolewa na viongozi yaani government officers ambao walikuwa kwenye position kubwa ya kusaidia na sio Mbowe that is hard truth ...

.. Champion aliyetoa idea ya kitabibu akiwa Ulisubsya of which it costed him .... Champion akiwa yule mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya ndege , champion pia aiiwa the late Turky na baadhi ya wadau ambao hawakuwa tayari majina yao yatokee kwa kuhofia VITIMBI NA UKALI wa JPM; hawa ndio game changer .....and never Ulisubsya kuwahi kuzungumzia hili swala.....kama nilivyosema Jamaa haongei sana wala sio mtu wa Media kama Mwafulani. Anajua ethics za kazi zake and he is very much composed. Hata alivyotumbuliwa … hakuwahi ku comment anything . His mouth was always sealed🤐

kama ilivyo wana siasa Mbowe ndio akaanza kuonesha nimeokoa maisha ya Lissu. Big Liar and it is a shame kuona jamaa anaongea maneno kama hayo kuwa ameokoa maisha ya Lissu akisahau dunia ya sasa kila kitu kipo wazi.

Dr Megalodon
WHO Regional Office,
Rue 52, Ottawa
Canada

View attachment 3196694
View attachment 3196695
Mkuu, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege anahusika vipi katika utoaji wa vibali, fafanua maana hii ndo sekta yangu sheikh.
 
Acheni ujinga
Hata km huyo mbowe ana mampungufu yake huwezi kusema eti hakusaidia kwenye hili

Uchaguzi utapita, Kuna maisha baada ya uchaguzi
 
mbowe ambae anajiita TAJIRI hakuweza kuwa na dola elf 9 na mia 2 sawa na 18M tu za hapo hapo…..wala chama hakikuwa na 18M cash 🤣hadi mmbunge wa CCM aje kutoa garantee 🤣
Nimeshangaa hili jambo
 
Nimeshangaa hili jambo
Ogopa Utapeli

To my surprise, Kwenye AC ya Mbowe hakukuwa na 18M ??🥹?

Kwenye AC ya CHADEMA hapo hapo hakukuwa na 18M

Pesa zililipwa na wanaanchi

Wa tu walichangaa sanaaa kimya kimya

CHADEMA haijawahi kutangaza fedha za matibabu zilizochangwa zilifika kias gani ?
 
Nilikuwepo Airport siku hiyo na nilishuhudia kila kitu mpaka ndege inaondoka. Ilikuwa ni huzuni sana kumuangalia Lissu siku ile.
 
Back
Top Bottom