Huyu Hapa ndo aliyeokoa maisha ya Tundu Lissu pale Dodoma, sio Mbowe

Nilikuwepo Airport siku hiyo na nilishuhudia kila kitu mpaka ndege inaondoka. Ilikuwa ni huzuni sana kumuangalia Lissu siku ile.

..mlolongo wa matukio kabla Lissu hajashambuliwa unatia mashaka na kusikitisha.

..Tundu Lissu aliwahi kutoa namba za gari lililokuwa likimfuatilia lakini Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba akakanusha uwepo wa gari na namba hizo.
 
Tanzania hakuna Waziri mwenye akili. Il uwe na akili ni lazima upingane na boss wako kitu ambacho ni impossible

Mwigulu hajawahi kuwa smart
Hao ni ma opportunist
 
..mlolongo wa matukio kabla Lissu hajashambuliwa unatia mashaka na kusikitisha.

..Tundu Lissu aliwahi kutoa namba za gari lililokuwa likimfuatilia lakini Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba akakanusha uwepo wa gari na namba hizo.
Walitaka kumuua

Instruction zilikuwa Dodoma to Igungi
Azikiwe huko na story itulie

Lakin Sir God said wanapanga vitimbi lakini Mimi Mungu ni mwingi wa kutegua
 
Walitaka kumuua

Instruction zilikuwa Dodoma to Igungi
Azikiwe huko na story itulie

Lakin Sir God said wanapanga vitimbi lakini Mimi Mungu ni mwingi wa vitimbi
TAL ni mtu atakaekumbukwa na vizaz vyote

Kama Bob Marley tu
 
Kwa jinsi ulivyoandika na kujenga hoja, inawezekana wewe ndiyo yule Daktari aliyepasua mtu kichwa badala ya mguu pale Muhimbili! Ahahahahaha!!
 
Salute sana kwa wote waliosaidia kwa namna moja ama nyingine especially huyo Dr Ulisubisya but hayo yote yasingewezekana bila Mwenyezi Mungu kutaka iwezekane Hivyo shukran za kwanza kabisa ni za Mwenye Uweza The Almighty Mungu wa Mbinguni.
 
kazi ya mbowe ni moja,kuimiliki chagadema na mapato yake
 
Salute sana kwa wote waliosaidia kwa namna moja ama nyingine especially huyo Dr Ulisubisya but hayo yote yasingewezekana bila Mwenyezi Mungu kutaka iwezekane Hivyo shukran za kwanza kabisa ni za Mwenye Uweza The Almighty Mungu wa Mbinguni.
Ni kweli
 
Mwenyezi Mungu ndiye muweza wa yote Kuna wengine wanatamani waishi maisha marefu lakini watashindwa,

Ukisha timiza jukumu la muumba utaondoka tu, changamoto nyingi tunazo zipitia duniani husababishwa na binadamu kwamakusudi ama kwa bahati mbaya

Kila binadamu ana mchango wake hapa duniani kwasasa tunaishi kwenye jamii iliyostaarabika lakini yenye binadamu wanaofurahia watu wengine wapate matatizo, vile vile jukumu la mzazi ni kumlea mtoto na kuhakikisha anapata ulinzi, makuzi mema lakini akisha anza kujitegemea siyo lazima alipe fadhira

Hitimisho kwa bandiko lako unataka mh Tundu Lisu alipe fadhira hata kama hao waliomsaidia kwa nguvu za kibinadamu wanakengeuka
 
They are known, each and their roles. On a number of occasions, TAL has mentioned some(key figures)
 
He is a humble Dr nilikutana naye Israel kwenye kozi moja mwaka 2015.
 
Salute sana kwa wote waliosaidia kwa namna moja ama nyingine especially huyo Dr Ulisubisya but hayo yote yasingewezekana bila Mwenyezi Mungu kutaka iwezekane Hivyo shukran za kwanza kabisa ni za Mwenye Uweza The Almighty Mungu wa Mbinguni.
Ni sawa pia …God uses his people to help his people …na imani ni personal thing, jinsi unavoamini wewe sivyo atakavyoamini mwingine……. Unatakiwa kuwa open minded na kuheshimu hiyo laini. Anaeamini kuwa bila Mungu asingetoboa ni sawa, na anaeamini bila ya juhudi za watu asingetoboa ni sawa pia……. Muhimu ni kuheshimu human differences . Bila human differences maisha ya duniani would not make any sense.
Dont fight differences …., appreciate them.

Thanks 😀
 
Aliadhibiwa kwa kujaribu kuokoa life ya Liso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…