Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Lile jitu lilikuwa katili sana.Jpm motoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lile jitu lilikuwa katili sana.Jpm motoni
Nilikuwepo Airport siku hiyo na nilishuhudia kila kitu mpaka ndege inaondoka. Ilikuwa ni huzuni sana kumuangalia Lissu siku ile.
Lakini rostam nahisi alikosea kumdharau mwendazakeMuulize Rostam Aziz
Lakini rostam nahisi alikosea kumdharau mwendazake
Tanzania hakuna Waziri mwenye akili. Il uwe na akili ni lazima upingane na boss wako kitu ambacho ni impossible..mlolongo wa matukio kabla Lissu hajashambuliwa unatia mashaka na kusikitisha.
..Tundu Lissu aliwahi kutoa namba za gari lililokuwa likimfuatilia lakini Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba akakanusha uwepo wa gari na namba hizo.
Walitaka kumuua..mlolongo wa matukio kabla Lissu hajashambuliwa unatia mashaka na kusikitisha.
..Tundu Lissu aliwahi kutoa namba za gari lililokuwa likimfuatilia lakini Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba akakanusha uwepo wa gari na namba hizo.
Ulisubisya mpoki apewa mauaji yake21.....
Alimla kichwaUliposema "chap akala kichwa cha ulisubsya" nilishtuka kidogo..
kwani jiwe alimfanya nini ulisubsya?
Kwa jinsi ulivyoandika na kujenga hoja, inawezekana wewe ndiyo yule Daktari aliyepasua mtu kichwa badala ya mguu pale Muhimbili! Ahahahahaha!!Taarifa zilipofika Bungeni, chap watu wakawahi eneo la tukio kisha Hospital.
Kufika Hospital, Katibu Wizara ya Afya wa wakati huo , this great man , Dr. Ulisubisya , Daktari wa Kuua na Kufufua ( Anesthesiologist)akawahi kuingia Theater for bleeding management and major first aid akishirikiana na general physician waliokiwepo zamu.
-
Wadau wengine akiwemo mbowe , chadema na baadhi ya viongozi wa CCM akiwemo Ndungai wakabaki nje ya Hospital wakifacilitate communication ili Lissu awahishwe Muhimbili kwa ajili ya matibabu zaidi.
After few hours, Daktari wa Kuua na Kufufua, akatoka Theater na kwenda kwa wadau, Ulisubsya does not speak so much , ana sauti nzito kidogo na niliwahi kufanya nae kazi, na alikuwa ni mmoja wa waliosaini my docs nilipokuwa naondoka
Aliwauliza wadau WHAT NEXT ? Plan zmekaaje?
Mbowe na Ndungai wakajibu tumekubaliana awahishwe MNH.
Dr. Ulisubsya, ni mtu mwenye HESHIMA... akawaambia "vema lakini ninaomba kushauri; kwa hali niliyomkuta nayo LISSU na kwa technology inayotumika MNH kwa sasa, nashauri awahishwe NAIROBI ili baadae asogezwe nchi zenye advanced technology." akasisitiza "Ushauri huu ni wa kitaalam nashauri uzingatiwe"
Ndio chap chap simu zikaanza kutembea kupata vibali na ndege to Nairobi....aliyefacilitate zoezi zima la kupata ndege ni aliyekuwa mkurugenzi wa mamlaka ya viwanja vya ndege wa wakati ule.
Baadae ikaonekana Chadema haina Cash kiasi cha Dola 9200. Ikabidi Mbunge wa Zanzibar Turky atoe garantee kuwa endapo chadema wasipolipa hizo dola 9200 yeye atazilipa na kwakua pia Turky alikuwa na uhusiano mzuri na hilo shirika la ETG ….ndege ikaruka na baadae chadema inatoa AC wananchi na wadau wakaanza kuchanga.
Ndege iliyombeba tundu lissu ; View attachment 3197630
5H ETG Cessna 560
Wakati huo JPM anasubiri Lissu aletwe MNH na akaahidi serikali itagharamia matibabu yake; Job Ndungai anampa Taarifa JPM kuwa Lissu amepelekwa Nairobi,!
JPM akauliza why ? Job akamjibu
"Ulisubsya ameshauri hivyo na ndio alisimamia zoezi zima na ameonesha kuwa MNH inatumia technology ya zamani kwenye treatment"
Hii kitu ilimuudhi sanaJPM , akasema :
"bunge lisigharamie matibabu yake"
Chap akala kichwa
Cha Ulisubsya na kumwambia kwamba unasafiri snaa nje hata safari za kuwapa watendaji wako wa chini unaenda wewe.
akawa anatakiwa kwenda pale wizara ya mambo ya nje kunywa chai asubuh na kusoma magazeti bila ya kukosa kila siku.
Gharama za matibabu ya Lissu zilichangwa na wadau wengi akiwemo Samia Hassan, aliyekuwa makamu wa Rais wa kipindi kile.
Mbowe alishiriki kama walivyoshiriki viongozi wengine wa Chadema na CCM kwenye ku facilitate zoezi zima.Mbowe alishakuwa ameingia kwenye mtego wa kumpeleka Lissu MNH.
Kama sio Ulisubsya na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege wa wakati ule.....na baadh ya wadau akiwemo the Late Turky yule mmbunge wa Zanzibar ambae alisaidia kuwapa ETG garantee ya maneno juu ya dola 9200 kuwa atawalipa wao cash endapo chadema itachelewesha ; probably we would not have Lissu today .
Surprisingly; mbowe ambae anajiita TAJIRI hakuweza kuwa na dola elf 9 na mia 2 sawa na 18M tu za hapo hapo…..wala chama hakikuwa na 18M cash 🤣hadi mmbunge wa CCM aje kutoa garantee 🤣
Siwezi kusema Mbowe hakuwa na Mchango, bali mbowe alikuwa na mchango kama walivyokuwa na Mchango viongozi wengine wa Chadema na CCM . In truth , Maisha ya Lissu yaliokolewa na viongozi yaani government officers ambao walikuwa kwenye position kubwa ya kusaidia na sio Mbowe that is hard truth ...
.. Champion aliyetoa idea ya kitabibu akiwa Ulisubsya of which it costed him .... Champion akiwa yule mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya ndege , champion pia aiiwa the late Turky na baadhi ya wadau ambao hawakuwa tayari majina yao yatokee kwa kuhofia VITIMBI NA UKALI wa JPM; hawa ndio game changer .....and never Ulisubsya kuwahi kuzungumzia hili swala.....kama nilivyosema Jamaa haongei sana wala sio mtu wa Media kama Mwafulani. Anajua ethics za kazi zake and he is very much composed. Hata alivyotumbuliwa … hakuwahi ku comment anything . His mouth was always sealed🤐
kama ilivyo wana siasa Mbowe ndio akaanza kuonesha nimeokoa maisha ya Lissu. Big Liar and it is a shame kuona jamaa anaongea maneno kama hayo kuwa ameokoa maisha ya Lissu akisahau dunia ya sasa kila kitu kipo wazi.
Dr Megalodon
WHO Regional Office,
Rue 52, Ottawa
Canada
View attachment 3196694
View attachment 3196695
kazi ya mbowe ni moja,kuimiliki chagadema na mapato yakeHakuna wema alioufanya. Kwa process zilivyoshughulikiwa that day ; hata Mbowe asingekuwepo Lissu angetibiwa Nairobi
It is that day nili realize damu ni nzito kuliko maji…. Bila ya kujali mambo ya vyama wabunge wote walitoa ushirikiano
Unaweza kuniambia alichofanya mbowe ni nini hasa? Kumbebea lile koti lake ?
Ni kweliSalute sana kwa wote waliosaidia kwa namna moja ama nyingine especially huyo Dr Ulisubisya but hayo yote yasingewezekana bila Mwenyezi Mungu kutaka iwezekane Hivyo shukran za kwanza kabisa ni za Mwenye Uweza The Almighty Mungu wa Mbinguni.
They are known, each and their roles. On a number of occasions, TAL has mentioned some(key figures)Sioni haja ya kutaka kujua mchango wa nani na nani kwenye hilo hiyo nguvu tuitumie kujua ni nani walitaka kumuua TAL na tuwapeleke mikononi mwa sheria....
Badala ya kudai tumeokoa maisha ya fulani tuhangaike na wale ambao hatujui kama maisha yao tumeyaokoa au la! kama kina Ben, Soka , Azory nk....
Hao kina FAM na TAL watayamaliza baada ya uchaguzi wao
Ni sawa pia …God uses his people to help his people …na imani ni personal thing, jinsi unavoamini wewe sivyo atakavyoamini mwingine……. Unatakiwa kuwa open minded na kuheshimu hiyo laini. Anaeamini kuwa bila Mungu asingetoboa ni sawa, na anaeamini bila ya juhudi za watu asingetoboa ni sawa pia……. Muhimu ni kuheshimu human differences . Bila human differences maisha ya duniani would not make any sense.Salute sana kwa wote waliosaidia kwa namna moja ama nyingine especially huyo Dr Ulisubisya but hayo yote yasingewezekana bila Mwenyezi Mungu kutaka iwezekane Hivyo shukran za kwanza kabisa ni za Mwenye Uweza The Almighty Mungu wa Mbinguni.
Aliadhibiwa kwa kujaribu kuokoa life ya LisoTaarifa zilipofika Bungeni, chap watu wakawahi eneo la tukio kisha Hospital.