Huyu Hapa ndo aliyeokoa maisha ya Tundu Lissu pale Dodoma, sio Mbowe

Na jiwe alimchukia sana huyu doctor kwa kuokoa maisha ya aliyeitwa na jiwe "kibaraka wa mabeberu" mpk akamtumbua huyu doctor
 
Jpm alikuwa ni shetani aliyetelemshwa duniani ili watu wote waone shetani anavyofanana
 
Maruhun Turuky mbona huja msema kama alisaidia.
 
Asante Sanaa mkuu nime screenshot comment yake...

Mimi ni strong Ila nimejikuta nimechefukwa to the maximum...



Nimejifunza Kwako ni ku ignore negativity.

Much respect Kwako.

 
Wanyakyusa Kwa Mara nyingine wameokoa taifa
Mwanafyale, nenda youtube kaisikilize ile hotuba ya Lissu bungeni masaa machache kabla hajapigwa risasi, aliyekua ana chair kikao cha bunge that day alikua dada yako, nenda kamtazame vizuri sister halafu njoo tena usifie Wanyakyusa wenzio. Sister that day alikua "poa" sana tofauti na siku zingine
 
Maneno mengi ya kuzunguka lakini hujaonyesha vema mchango wa Mbowe special tofauti na wenzake.
 
Kuna watu wamebarikiwa na kujaaliwa karama adimu na adhimu, wanaheshimu viapo vyao na daima Mungu hawatupi maishani
 
Rubbish.
 
Je ni mbowe aliye jua hali ya mgonjwa na hatua inayofuata baada ya matibabu ya awali pale dodoma au ni Dr.

Je ni mbowe aliyekuwa anajua hospital gani itamfaa nairobi ukilinganisha na vifaa vyetu mnh au ni Dr.

Je mbowe alikuwa anajua taratibu za usafiri, ili mgonjwa afike nairobi mapema, wakati hakuwepo kwenye chumba cha matibabu na hakuwa sehemu ya mawasiliano na hospitali ya nairobi.

.............. hadithi ni ndefu na mambo mengi, wengi wa waliokuwa nje ya chumba cha matibabu walikuwa wanapata taarifa ambazo watu wengine walikuwa wanazitoa.
Je mbowe alikuwa anafahamu namba za mkurugenzi wa tcca zaidi ya kupata taarifa za baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…