Huyu hapa ni Katibu Mkuu wa UVCCM, Je huyu naye ni kijana?

Kwani Katibu wa umoja/jumuiya ni lazima awe mwanaumoja/mwanajumuiya?
 
Katibu mkuu wa UVCCM hachaguliwi bali anateuliwa na Kamati kuu

Ni ajira hivyo kigezo cha umri hakimuhusu

Hata Jokate ana miaka 26 Lakini ni Katibu wa UWT

Ila Hamas sina hamu 😂😂🔥
Kwamba hata John Malecela anaweza kuwa Katibu wa UVCCM , na kwamba atakaposoma risala ya umoja huo mbele ya Mh Samia ataanza na neno "sisi vijana tunaunga mkono uwekezaji wa bandari" ?
 
Hii Kalamu alivyoshika utadhani hata kuandika ni Mgogoro
 
Kijana wa zamani labda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni mzee sugu rika la nape
 
Kisera bado ni 30
 
Mimi mwenyewe nilishangaa sana siku waliposema eti ni katibu wa UVCC.

CCM wanavyokwenda, kuna siku watamchagua Sumaye kuwa mwenyekiti wa UVCCM.
 
35 aisee
 
Jokate kazaliwa mwaka 1987. Ana miaka 36.
 
Katibu Mkuu wa UVCCM na makatibu wengine wa CCM ni waajiriwa(wanateuliwa). Sio viongozi wanaotokana na kuchaguliwa. Umri sio Kigezo cha kuzingatia kuteuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…