Midimay
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 3,036
- 5,039
Kwani Katibu wa umoja/jumuiya ni lazima awe mwanaumoja/mwanajumuiya?Nape Nnauye na Hamad Masauni waliwahi kuondolewa UVCCM kwa tuhuma za kufoji umri , kwamba kwa sheria zinazosimamia Umoja huo wa vijana wa ccm zinamtaka kiongozi wa Umoja huo kutozidisha umri wa miaka 30 .
Sasa hapa pichani ni Mh Faki , mnavyomuangalia hapa mtu huyu ni wa miaka 25 au 28 kweli ?
View attachment 2774543
Wanaoshindwa kujisimamia kwenye vijisheria vyao vidogo vidogo wataweza kusimamia Katiba ya Nchi ?